Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Ni siku ya sita tu tangu nimenunua na kukiunganisha(install kisimbusi cha Startimes,mbona mvua kidogo(manyunyu) inavyonyesha matangazo kwa tv yanakatikakatika,hakuna njia ya kuimarisha ili yasikatikekatike?
 
Habari yako tafadhari rekebisha/funga vizuri antena yako
 
Mm ninaking'amuz chenu kinafanya kaz vzur lakn sijajua option au setting za kuruhusu pen drive/flash disk kufanya kaz
Habari yako. Kwa sasa kwa decoder za kawaida sehemu ya usb flash haifanyi kazi! Ila kama unatumia smart decoder unaweza kurekodi vipindi pia kuangalia movie iliyo kwenye usb yako
 
Za kawaida ni zipi, je hizi Sat3 ni miongoni mwa za kawaida
 
habari

Tafadhali afike katika ofisi za startimes akiwa na 'LOST REPORT', kopi ya KITAMBULISHO, na namba ya smartcard, tutakifunga kisiweze kutumika
Hiyo "LOST REPORT" anayotakiwa kuja nayo ni tofauti na LOSS REPORT anayopewa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya upotevu kwao?
 
Back
Top Bottom