N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Hahahah utakuwa na TV 1 yako weye, hatuna tv1 siku hiziUnatk kuniambia ninavy angaria mpira nafanya makosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah utakuwa na TV 1 yako weye, hatuna tv1 siku hiziUnatk kuniambia ninavy angaria mpira nafanya makosa
Habari yako tafadhari tambua kwamba uzi huu ni maalumu kwa ajili ya starTimesMsaada kwa anayejua gharama za kifurushi Cha Azam tv kwa wiki na je ni Chanel zipi zinazooneshwa kwa hicho kifurushi Cha wiki?
Habari yako tafadhari rekebisha/funga vizuri antena yakoNi siku ya sita tu tangu nimenunua na kukiunganisha(install kisimbusi cha Startimes,mbona mvua kidogo(manyunyu) inavyonyesha matangazo kwa tv yanakatikakatika,hakuna njia ya kuimarisha ili yasikatikekatike?
Natumia dish sio AntenaHabari yako tafadhari rekebisha/funga vizuri antena yako
Pia kama dish ahalijafungwa vizuri linaweza sababisha tatizo hili. Tafadhari tupatie namba yako ya card tutawasiliana nawe
Namba ya card ni 02724727117Pia kama dish ahalijafungwa vizuri linaweza sababisha tatizo hili. Tafadhari tupatie namba yako ya card tutawasiliana nawe
Habari yako. Kwa sasa kwa decoder za kawaida sehemu ya usb flash haifanyi kazi! Ila kama unatumia smart decoder unaweza kurekodi vipindi pia kuangalia movie iliyo kwenye usb yakoMm ninaking'amuz chenu kinafanya kaz vzur lakn sijajua option au setting za kuruhusu pen drive/flash disk kufanya kaz
Za kawaida ni zipi, je hizi Sat3 ni miongoni mwa za kawaidaHabari yako. Kwa sasa kwa decoder za kawaida sehemu ya usb flash haifanyi kazi! Ila kama unatumia smart decoder unaweza kurekodi vipindi pia kuangalia movie iliyo kwenye usb yako
Habari yako. Hiyo sat3 sio smart dekoda. Kwa sasa huwezi kutumia usbZa kawaida ni zipi, je hizi Sat3 ni miongoni mwa za kawaida
Hiyo "LOST REPORT" anayotakiwa kuja nayo ni tofauti na LOSS REPORT anayopewa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya upotevu kwao?habari
Tafadhali afike katika ofisi za startimes akiwa na 'LOST REPORT', kopi ya KITAMBULISHO, na namba ya smartcard, tutakifunga kisiweze kutumika
Ni sawa. Fika nayo hiyo tafadhari katika ofs ya startimes iliyokaribu yakoHiyo "LOST REPORT" anayotakiwa kuja nayo ni tofauti na LOSS REPORT anayopewa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya upotevu kwao?
HabariWekeni game za EPL, tamthilia za nini sisi,mnapitwa na wakati Sasa.