Hauwezi kuilinganisha tz n Kenya bro. Katika karibia shule zote za public za serikali n baadhi ya few public primary schools all over the country Kuna office ya rais n ya waziri mkuu. Iwapo waziri au raisi akuhudhuria hafla yeyote katika eneo lolote, basi ataitumia ofisi take ya karibu iliyopo katika shule yeyote ya karibu zaidi. In kenya, president hana ofisi yeyote ya dharura. Ikitokea atavisiti eneo lolote, basi atatumia ofisi za county government au za viongozi wa eneo hilo, au anaweza asitumie kabisa ofisi.
Kwanini ninaomba usiilinganishe tz n Kenya haswa kwenye jambo kama hili? Sababu maraisi wetu wana hulka ya kendra kusikiliza masaibu ya wananchi katika vijiji vyao. Hivyo, katika kila kijiji, wilaya n kata raisi wa tz ni lazima awe n ofisi za dharura. Kwaivyo ikitokea raisi anaenda eneo lolote kusikiliza masaibu ya wananchi, ataposikiliza kisa chochote kuachiwa a hard copy document ya hicho kisa, hizo documents ndio huifadhiwa kwenye hayo mafaili ambayo huchambuliwa n kukabidhiwa waziri husika kutatua kila jambo lenye mshiko.
Ila kwa upande wa pili hamna ofisi za dharura za raisi, mtaelewaje kinachoendelea au umuhimu wa hizo ofisi, hayo mafaili?