pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #81
Kama ofisi ipo hivyo unategemea nini kutoka kwa wafuasi wa mwenye ofisi? Akili zao zipo kama hiyo desk hapo yenye mafaili yanayofanana na chapati za juzi.Halafu watu wa akili yako ndio washauri wakuu wa serikali yenu!!!! You don't expect much from such a government! You seem you and your government are allergic to criticism hence your resorting to insults and coercion!!.