State of the highest office; The Office of The President

State of the highest office; The Office of The President

Is that really the face of socialism? Lack of any identifiable order and untidy workplaces even at the highest office in the land? I always thought otherwise, no wonder Tanzania's version of socialism was a total failure.
In the long run, they had to embrace capitalism after realizing how much socialism wasted them.
 
kama mgeni anakuja kukagua mpangilio wa mafile basi hatakuja but gues what,

watu weupe ni watu simple sana,huwa hawajishughulishi na vitu vya ajabu kwa mwingine kama ngozi nyeusi.

hapa ni magogoni dsm,ikulu kongwe.View attachment 1661348
Wacha kubadilisha mada. I did not mention ikulu ya Dar anyway. Here we are debating the chaotic office of your president in Dodoma
 
Wacha kubadilisha mada. I did not mention ikulu ya Dar anyway. Here we are debating the chaotic office of your president in Dodoma
kwani mbona unachagua namna ya kuelimishwa!!!!

mimi nimekwambia hiyo ni ofisi temporally ya rais makao makuu dodoma,ikulu kubwa inajengwa,na kama una mind kuhusu mpangilio kuna ikulu kubwa ya zamani dsm.

hutaki,umeamua kuwa mkali sasa[emoji1][emoji1].
 
When was the last time this two laugh together under one roof!? In a single office? Haha
JamiiForums1228663027.jpg

Nicxie pingli-nywee
 
Even lands offices were digitalized. Huwezi kuta such level of confusion in most lands offices in the country today
Charity Ngilu ndiye aliyefanya 'digitization' ya records na mafaili yote alipokuwa anaongoza wizara ya 'Lands'. Sasa hivi kwenye ofisi za lands karatasi utapata kwenye hatua za mwisho k.m. Title Deeds, Transfers au docs. za Search.
Don't you know how good they are at giving excuses?
Mmoja amesema kwamba ni faili za uteuzi wa mawaziri. Mwingine akasema kwamba ofisi ni temporary, eti ndio maana hakuna mpangilio.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kwamba kuna mmoja amesema kwamba hizo faili ni hardcopy ya masaibu yote aliyokabidhiwa rais na watz vijijini. [emoji1] Alafu eti ndio ujaribu kawaeleza jambo lolote kuhusu 'digitization' ya 'operations' kwenye ofisi za serikali au hata mfumo wa e-Government. Jirani zetu bado wapo kwenye enzi za A4 na tani za malori ya mafaili.
 
kwani mbona unachagua namna ya kuelimishwa!!!!

mimi nimekwambia hiyo ni ofisi temporally ya rais makao makuu dodoma,ikulu kubwa inajengwa,na kama una mind kuhusu mpangilio kuna ikulu kubwa ya zamani dsm.

hutaki,umeamua kuwa mkali sasa[emoji1][emoji1].
Sasa kama ni temporary inafaa iwe disorganized? Where is it written that temporary Presidential offices should be disorganized? Wewe kweli ni pimbi
 
Sasa kama ni temporary inafaa iwe disorganized? Where is it written that temporary Presidential offices should be disorganized? Wewe kweli ni pimbi
mpaka iandikwe sehemu ndio unatia kwa akili yako!!!

embu muangalie alivyovaa halafu uje unieleze umeelewa nini??
 
Charity Ngilu ndiye aliyefanya 'digitization' ya records na mafaili yote alipokuwa anaongoza wizara ya 'Lands'. Sasa hivi kwenye ofisi za lands karatasi utapata kwenye hatua za mwisho k.m. Title Deeds, Transfers au docs. za Search. Mmoja amesema kwamba ni faili za uteuzi wa mawaziri. Mwingine akasema kwamba ofisi ni temporary, eti ndio maana hakuna mpangilio.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kwamba kuna mmoja amesema kwamba hizo faili ni hardcopy ya masaibu yote aliyokabidhiwa rais na watz vijijini. [emoji1] Alafu eti ndio ujaribu kawaeleza jambo lolote kuhusu 'digitization' ya 'operations' kwenye ofisi za serikali au hata mfumo wa e-Government. Jirani zetu bado wapo kwenye enzi za A4 na tani za malori ya mafaili.
They've given like five or six different reasons/excuses why that office looks that way. Mahali hata mimi nilicheka ni ile part one of them said eti hizo ni files Kutoka kwa watanzania vijijini! 😂 😂
Hawa watu huchekesha sana
 
mpaka iandikwe sehemu ndio unatia kwa akili yako!!!

embu muangalie alivyovaa halafu uje unieleze umeelewa nini??
Kuvaa kwake hivyo inahusikaje na hali mbaya ya ofisi yake? Hata uhuru huvaa casually, kwanza shati za vitenge in his official office. Don't look for another excuse bongolala

Below is president Uhuru Kenyatta wearing casual clothes in his official office. Has his dressing made his office look disorganized?
unnamed (2).jpg
74437215_3127574960591340_2107921123688579072_o-640x400.jpg
 
Kuvaa kwake hivyo inahusikaje na hali mbaya ya ofisi yake? Hata uhuru huvaa casually, kwanza shati za vitenge in his official office. Don't look for another excuse bongolala
inaonekana una hasira za maisha yako,anyway nataka tu once utumie akili za kawaida tu,sio nguvu nyingi.

ofisi au meza ya rais wa nchi ina code zipi za mpangilio???ambazo ni lazima zifuatwe.
 
ndio maana nawaambia msiwe mnamaliza maneno.

hapo umeponda ofisi,nakwambia inaangaliwa gharama,maana hiyo ni ofisi ya muda,mpya inajengwa hapo hapo,ukiacha na ya siku zote ya dsm.sasa kwanini kurundika mavifaa ya gharama kwenye ofisi ya muda!!!!

au nikupe picha za ofisi ya dsm uone vile ofisi ya rais wa EA inakaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nn anajenga ofisi nyingine? Huo ni ubadhirifu wa mali ya umma. Kama hapo hapatoshi ahamie kibarazani. Hela za kujenga ofisi mpya ikajenge madarasa ya secondari au matundu ya vyoo
 
inaonekana una hasira za maisha yako,anyway nataka tu once utumie akili za kawaida tu,sio nguvu nyingi.

ofisi au meza ya rais wa nchi ina code zipi za mpangilio???ambazo ni lazima zifuatwe.
You need to learn something about the importance of keeping a clean and organized office space before asking that stupid question. Does your president or his handlers know something about digitizing documents?
 
Kwa nn anajenga ofisi nyingine? Huo ni ubadhirifu wa mali ya umma. Kama hapo hapatoshi ahamie kibarazani. Hela za kujenga ofisi mpya ikajenge madarasa ya secondari au matundu ya vyoo
madarasa yanajengwa pia.
 
You need to learn something about the importance of keeping a clean and organized office space before asking that stupid question. Does your president or his handlers know something about digitizing documents?
nimekusihi wacha hasira.

nipe standard za mpangilio wa ofisi ya rais unatakiwa uweje.
 
Basi huyo magufuli aache tamaa ya kutaka ofisi mpya ndogo kuliko hiyo. Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za masikini wa tz
unadhani umasikini unaondoka kwa kutoacha kujenga ofisi za uma???

bali ni kwa kila mmoja kufanya kazi kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom