Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Inafaa iwe hivi. Happy now? 😂[emoji1][emoji1]ndio maana nikakupa uhuru unielekeze,au nawewe hujui pia unaimba tu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafaa iwe hivi. Happy now? 😂[emoji1][emoji1]ndio maana nikakupa uhuru unielekeze,au nawewe hujui pia unaimba tu??
bali ni kwa kila mmoja kufanya kazi kwa nguvu.
nazungumzia kukuza uchumi zaidi.Unaweza kufanya kazi kwa nguvu na usifanikiwe , kazi yoyote ili ifanikiwe lazima ifanyike kwa ufanisi na ufanisi unahitaji akili na sio nguvu!!!
nazungumzia kukuza uchumi zaidi.
tanzania tunahitaji nguvu zaidi kwenye kazi yoyote ile.
Tatizo mzee Mgufuli alishasema hapangiwi, hapo utakuta wapambe wake wanalazimika kutazama kwa mbali tena kwa uwoga...
Mazingira ya kazi ni muhimu sana kwenye kuhakikisha ufanisi, allowing chaos in your office won't make you effective. A president is a very important individual making crucial decisions every minute of the day and shouldn't be obstructed or distracted by minor stuffs such as lack of orderliness in the office.
madarasa yanajengwa pia.
unataka kujua tunawezaje[emoji38][emoji38]Usitetee upuuzi ; ofisi ya Mkuu wa nchi inatakiwa iendane na hadhia yake basi!!!! Kama hamuwezi kupanga ofisi ya Mkuu wenu mnawezaje kupanga mipango yenu ya maendeleo?
Halafu watu wa akili yako ndio washauri wakuu wa serikali yenu!!!! You don't expect much from such a government! You seem you and your government are allergic to criticism hence your resorting to insults and coercion!!.unataka kujua tunawezaje[emoji38][emoji38]
wewe tenga matako usubiri matokeo,wacha pressure.
Ofisi haina hadhi ya kuitwa ofisi ya Rais, ama kweli ushamba ni mzigo mzito sana.
You need to learn something about the importance of keeping a clean and organized office space before asking that stupid question. Does your president or his handlers know something about digitizing documents?
Umeongea uongo eti shule za tz Zina ofisi za dharura za rais na pm khaaaa acha utapeli aisee.Hauwezi kuilinganisha tz n Kenya bro. Katika karibia shule zote za public za serikali n baadhi ya few public primary schools all over the country Kuna office ya rais n ya waziri mkuu. Iwapo waziri au raisi akuhudhuria hafla yeyote katika eneo lolote, basi ataitumia ofisi take ya karibu iliyopo katika shule yeyote ya karibu zaidi. In kenya, president hana ofisi yeyote ya dharura. Ikitokea atavisiti eneo lolote, basi atatumia ofisi za county government au za viongozi wa eneo hilo, au anaweza asitumie kabisa ofisi.
Kwanini ninaomba usiilinganishe tz n Kenya haswa kwenye jambo kama hili? Sababu maraisi wetu wana hulka ya kendra kusikiliza masaibu ya wananchi katika vijiji vyao. Hivyo, katika kila kijiji, wilaya n kata raisi wa tz ni lazima awe n ofisi za dharura. Kwaivyo ikitokea raisi anaenda eneo lolote kusikiliza masaibu ya wananchi, ataposikiliza kisa chochote kuachiwa a hard copy document ya hicho kisa, hizo documents ndio huifadhiwa kwenye hayo mafaili ambayo huchambuliwa n kukabidhiwa waziri husika kutatua kila jambo lenye mshiko.
Ila kwa upande wa pili hamna ofisi za dharura za raisi, mtaelewaje kinachoendelea au umuhimu wa hizo ofisi, hayo mafaili?
Angekuwa anajua hizo files zote zinafanya nini kwa meza yake?Kwa iyo kwa akili zenu fyatu, u think de president of Tz and his handlers doesn't know anything abt digitizing documents, kwamba mtu baki kama ww unajua zaidi yao. Duh. Wakenya mnakuwanga na ufara mkubwa sana.
sasa ulitaka uwe mshauri wa serikali kwa sababu unajua hiki kiingereza umeandika hapa!!!labda huko kwenu wakunyaji.Halafu watu wa akili yako ndio washauri wakuu wa serikali yenu!!!! You don't expect much from such a government! You seem you and your government are allergic to criticism hence your resorting to insults and coercion!!.
[emoji1][emoji1][emoji1]Ume
Umeongea uongo eti shule za tz Zina ofisi za dharura za rais na pm khaaaa acha utapeli aisee.