In the long run, they had to embrace capitalism after realizing how much socialism wasted them.Is that really the face of socialism? Lack of any identifiable order and untidy workplaces even at the highest office in the land? I always thought otherwise, no wonder Tanzania's version of socialism was a total failure.
Wacha kubadilisha mada. I did not mention ikulu ya Dar anyway. Here we are debating the chaotic office of your president in Dodomakama mgeni anakuja kukagua mpangilio wa mafile basi hatakuja but gues what,
watu weupe ni watu simple sana,huwa hawajishughulishi na vitu vya ajabu kwa mwingine kama ngozi nyeusi.
hapa ni magogoni dsm,ikulu kongwe.View attachment 1661348
kwani mbona unachagua namna ya kuelimishwa!!!!Wacha kubadilisha mada. I did not mention ikulu ya Dar anyway. Here we are debating the chaotic office of your president in Dodoma
Charity Ngilu ndiye aliyefanya 'digitization' ya records na mafaili yote alipokuwa anaongoza wizara ya 'Lands'. Sasa hivi kwenye ofisi za lands karatasi utapata kwenye hatua za mwisho k.m. Title Deeds, Transfers au docs. za Search.Even lands offices were digitalized. Huwezi kuta such level of confusion in most lands offices in the country today
Mmoja amesema kwamba ni faili za uteuzi wa mawaziri. Mwingine akasema kwamba ofisi ni temporary, eti ndio maana hakuna mpangilio.Don't you know how good they are at giving excuses?
Sasa kama ni temporary inafaa iwe disorganized? Where is it written that temporary Presidential offices should be disorganized? Wewe kweli ni pimbikwani mbona unachagua namna ya kuelimishwa!!!!
mimi nimekwambia hiyo ni ofisi temporally ya rais makao makuu dodoma,ikulu kubwa inajengwa,na kama una mind kuhusu mpangilio kuna ikulu kubwa ya zamani dsm.
hutaki,umeamua kuwa mkali sasa[emoji1][emoji1].
mpaka iandikwe sehemu ndio unatia kwa akili yako!!!Sasa kama ni temporary inafaa iwe disorganized? Where is it written that temporary Presidential offices should be disorganized? Wewe kweli ni pimbi
They've given like five or six different reasons/excuses why that office looks that way. Mahali hata mimi nilicheka ni ile part one of them said eti hizo ni files Kutoka kwa watanzania vijijini! 😂 😂Charity Ngilu ndiye aliyefanya 'digitization' ya records na mafaili yote alipokuwa anaongoza wizara ya 'Lands'. Sasa hivi kwenye ofisi za lands karatasi utapata kwenye hatua za mwisho k.m. Title Deeds, Transfers au docs. za Search. Mmoja amesema kwamba ni faili za uteuzi wa mawaziri. Mwingine akasema kwamba ofisi ni temporary, eti ndio maana hakuna mpangilio.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kwamba kuna mmoja amesema kwamba hizo faili ni hardcopy ya masaibu yote aliyokabidhiwa rais na watz vijijini. [emoji1] Alafu eti ndio ujaribu kawaeleza jambo lolote kuhusu 'digitization' ya 'operations' kwenye ofisi za serikali au hata mfumo wa e-Government. Jirani zetu bado wapo kwenye enzi za A4 na tani za malori ya mafaili.
Kuvaa kwake hivyo inahusikaje na hali mbaya ya ofisi yake? Hata uhuru huvaa casually, kwanza shati za vitenge in his official office. Don't look for another excuse bongolalampaka iandikwe sehemu ndio unatia kwa akili yako!!!
embu muangalie alivyovaa halafu uje unieleze umeelewa nini??
inaonekana una hasira za maisha yako,anyway nataka tu once utumie akili za kawaida tu,sio nguvu nyingi.Kuvaa kwake hivyo inahusikaje na hali mbaya ya ofisi yake? Hata uhuru huvaa casually, kwanza shati za vitenge in his official office. Don't look for another excuse bongolala
Is that really the face of socialism?
Kwa nn anajenga ofisi nyingine? Huo ni ubadhirifu wa mali ya umma. Kama hapo hapatoshi ahamie kibarazani. Hela za kujenga ofisi mpya ikajenge madarasa ya secondari au matundu ya vyoondio maana nawaambia msiwe mnamaliza maneno.
hapo umeponda ofisi,nakwambia inaangaliwa gharama,maana hiyo ni ofisi ya muda,mpya inajengwa hapo hapo,ukiacha na ya siku zote ya dsm.sasa kwanini kurundika mavifaa ya gharama kwenye ofisi ya muda!!!!
au nikupe picha za ofisi ya dsm uone vile ofisi ya rais wa EA inakaa[emoji23][emoji23][emoji23]
You need to learn something about the importance of keeping a clean and organized office space before asking that stupid question. Does your president or his handlers know something about digitizing documents?inaonekana una hasira za maisha yako,anyway nataka tu once utumie akili za kawaida tu,sio nguvu nyingi.
ofisi au meza ya rais wa nchi ina code zipi za mpangilio???ambazo ni lazima zifuatwe.
madarasa yanajengwa pia.Kwa nn anajenga ofisi nyingine? Huo ni ubadhirifu wa mali ya umma. Kama hapo hapatoshi ahamie kibarazani. Hela za kujenga ofisi mpya ikajenge madarasa ya secondari au matundu ya vyoo
nimekusihi wacha hasira.You need to learn something about the importance of keeping a clean and organized office space before asking that stupid question. Does your president or his handlers know something about digitizing documents?
How will you know that wakati hata rais wako hajui? 😂 Not surprisednimekusihi wacha hasira.
nipe standard za mpangilio wa ofisi ya rais unatakiwa uweje.
[emoji1][emoji1]ndio maana nikakupa uhuru unielekeze,au nawewe hujui pia unaimba tu??How will you know that wakati hata rais wako hajui? [emoji23] Not surprised
Basi huyo magufuli aache tamaa ya kutaka ofisi mpya ndogo kuliko hiyo. Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za masikini wa tzmadarasa yanajengwa pia.
unadhani umasikini unaondoka kwa kutoacha kujenga ofisi za uma???Basi huyo magufuli aache tamaa ya kutaka ofisi mpya ndogo kuliko hiyo. Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za masikini wa tz