State of the highest office; The Office of The President

bali ni kwa kila mmoja kufanya kazi kwa nguvu.

Unaweza kufanya kazi kwa nguvu na usifanikiwe , kazi yoyote ili ifanikiwe lazima ifanyike kwa ufanisi na ufanisi unahitaji akili na sio nguvu!!!
 
Unaweza kufanya kazi kwa nguvu na usifanikiwe , kazi yoyote ili ifanikiwe lazima ifanyike kwa ufanisi na ufanisi unahitaji akili na sio nguvu!!!
nazungumzia kukuza uchumi zaidi.

tanzania tunahitaji nguvu zaidi kwenye kazi yoyote ile.

tuliishatoka kwenye kutafuta kuizifanikisha.
 
nazungumzia kukuza uchumi zaidi.

tanzania tunahitaji nguvu zaidi kwenye kazi yoyote ile.

Tanzania kwa vile ni nchi maskini inahitaji kufanya kazi kwa akili zaidi ili hicho kidogo walichonacho kiweze kuzalisha zaidi!! Nani alikwambia kukuza uchumi hakuhitaji ufanisi bali nguvu? Tunahitajika kujenga barabara zenye viwango na si barabara ambazo kila masika zinazolewa na mvua; halafu tunaingia gharama upya kuzijenga!!!
 
..hizo ni picha za propaganda za watu wa CCM. walitaka kumuonyesha Jpm kama kiongozi asiye na makuu.

Ofisi ya Raisi wa Tanzania haiko hovyo-hovyo kama inavyoonekana hapo. Pia wanaosema hiyo ni ofisi temporary ya Raisi kwasababu kuna ujenzi wa Ikulu mpya unaendelea ni waongo. Dodoma kuna ofisi ya Raisi na Ikulu established toka enzi za Mwalimu Nyerere.

..Kitengo cha Habari cha Ikulu na watu PR wa Raisi wanastahili kutumbuliwa. Ni zaidi ya mara moja wametoa habari ambazo zinashusha heshima ya Raisi wa Tanzania.
 
Usitetee upuuzi ; ofisi ya Mkuu wa nchi inatakiwa iendane na hadhia yake basi!!!! Kama hamuwezi kupanga ofisi ya Mkuu wenu mnawezaje kupanga mipango yenu ya maendeleo?
unataka kujua tunawezaje[emoji38][emoji38]

wewe tenga matako usubiri matokeo,wacha pressure.
 
unataka kujua tunawezaje[emoji38][emoji38]

wewe tenga matako usubiri matokeo,wacha pressure.
Halafu watu wa akili yako ndio washauri wakuu wa serikali yenu!!!! You don't expect much from such a government! You seem you and your government are allergic to criticism hence your resorting to insults and coercion!!.
 
Reactions: BAK
hii ni office ya zaman kidogo ya asaivi theme ni rangi ya cream na gold
 
You need to learn something about the importance of keeping a clean and organized office space before asking that stupid question. Does your president or his handlers know something about digitizing documents?

Kwa iyo kwa akili zenu fyatu, u think de president of Tz and his handlers doesn't know anything abt digitizing documents, kwamba mtu baki kama ww unajua zaidi yao. Duh. Wakenya mnakuwanga na ufara mkubwa sana.
 
Ume
Umeongea uongo eti shule za tz Zina ofisi za dharura za rais na pm khaaaa acha utapeli aisee.
 
Kwa iyo kwa akili zenu fyatu, u think de president of Tz and his handlers doesn't know anything abt digitizing documents, kwamba mtu baki kama ww unajua zaidi yao. Duh. Wakenya mnakuwanga na ufara mkubwa sana.
Angekuwa anajua hizo files zote zinafanya nini kwa meza yake?
 
Halafu watu wa akili yako ndio washauri wakuu wa serikali yenu!!!! You don't expect much from such a government! You seem you and your government are allergic to criticism hence your resorting to insults and coercion!!.
sasa ulitaka uwe mshauri wa serikali kwa sababu unajua hiki kiingereza umeandika hapa!!!labda huko kwenu wakunyaji.

simple math kama hiyo imekupiga knock out.ndio maana mkashauri serikali ijenge reli ya 1800s,leo 21th century.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…