Halafu watu wa akili yako ndio washauri wakuu wa serikali yenu!!!! You don't expect much from such a government! You seem you and your government are allergic to criticism hence your resorting to insults and coercion!!.
Kama ofisi ipo hivyo unategemea nini kutoka kwa wafuasi wa mwenye ofisi? Akili zao zipo kama hiyo desk hapo yenye mafaili yanayofanana na chapati za juzi.
Kwani uko ulipo ni kijijini kiasi gani hadi mnakosa hata ofisi ya raisi kwenye shule hata moja ya serikaki? Embu nenda uhuru mchanganyiko kko, Mugabe sinza kajitoe ushamba. Alafu cku nyingine ukiwa hauna uhakika n kitu nyamaza, itifaki imezingatiwa.