Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

Nendeni ubalozi wa USA mkaandamane pale nje na vitop vyenu vya kijani kama mlivyoenda ubalozi wa SA, ndege ilipokamatwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masilingi yupoyupo tuu ampeleke mbelwa marekani dogo anafikiri na mchapa kazi
 
[emoji23]
Turuu! Mr Wizards' Presdaa! ... you are quite correct!. ''de! out going Yehodaya is Language twisting Dramatist!'' funny enough to the native speaker. ... Lool!!!!!!

Jr[emoji769]
 
Mwambie aende basi.
 
Sijui kwanini me huwa napendaga mtafuno mdogo mdogo kama huu unaofanya tuelewe wote kwa pamoja huu mnyukano wa makonda na marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mnataka aende huko? hivi mtu kama hakutaki kwako unang'ang'ania nini kujitetea? Hilo zuio la Makonda inamadhara gani kiuchumi kwa Tanzania?
 
Sawa...Makonda aende tena Marekani
 
Makonda ndio watanzania? Maana title inazungumzia watanzania content Makonda. Wenye travel ban ni bashite na mkewe hawapewi visa, watanzania, kwa uzwazwa wenu nyie wachache, wamezuiliwa kushiriki greencard lottery visa....visa nyingine tunapewa.

You guys are dragging this country to the dregs... damn all of you
 
Wenye nchi hawamtaki...unalazimisha nini...huna kwenu?...kelele za nini akachukue viza basi.
Kwa kifupi Serikali imetuingiza kwenye matatizo makubwa sana na hawa wababe wa dunia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu,habari,
Unaongelea sheria ipi na ya nchi gani?
 


Mkuu vipi? umeona ushahidi wao au ?
 
Ndg yangu, kwani wamesema wanataka liwe la kisheria,

Muulize Saadam na Gadaf ni sheria ipi ilitumika kuwapa kichapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna ushahidi wa picha, video ,sauti viongozi wetu wakitamka na kutenda.Mengine kusigina katiba yetu mfano ..." Nikuteuwe ,nikupe gari.....umtangaze mpinzani..."

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya unayoongea unaweza kuja na credible evidence?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Mkuu kuna ushahidi wa picha, video ,sauti viongozi wetu wakitamka na kutenda.Mengine kusigina katiba yetu mfano ..." Nikuteuwe ,nikupe gari.....umtangaze mpinzani..."

Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wawe wakweli tu, walitugeuza shamba la bibi sasa tumeshtuka wameanza visa
Na mbona wameshamuita jiwe mara kadhaa kachomoa. na wala bado hatuogopi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…