Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

Tulieni wakati waja na hauko mbali mtaonyeshwa kila kitu, zipo video footage za kuanzia msafara Dar-Dodoma na kila kilichojiri sijui mtaweka wapi nyuso zenu. Ni bora mngekaa kimya, hiyo chimbu chimbu yenu mtatoka na nyoka. Hawa jama mpaka kutoa statement ile wamekusanya ushahidi wa kutosha usiokuwa na shaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


!
!
sasa kwa kuwa lina utata mwambie aende basi
 
Lifute basi.. Maana wewe ni Mmarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmm hadithi hii alikufundisha Nani kijiwe Cha chadema mkishapuliza bangi

Say no to bangi
 
Hahahaha, hawa WAUAJI WA BEN SAANANE NA AZORY GWANDA wamekamatika sasa. Hii ni dunia tu, tuishi kwa kuheshimu haki za wengine pia.
 

CIA = Central Intelligence Agency na mjomba wao
MI6 = Secret Intelligence Service (Covert operations) na wenziwe wanayajua mengi ikiwa mimi na wewe tunayajua
 
Watalitekeleza hivo hivo.
We baki na hizo void zako hali jamaa keshapigwa pini kuingia States na hiyo itambana kupata Visa ya zaidi ya nchi 15 duniani.
 
Haya mwambieni Bashite akaombe VISA atapata

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Makonda anatuhumiwa kwa mauaji!Hili linanitafakarisha sana,inawezekana kweli DSM inaongozwa na muuaji!
 

Umesahau ile station ya radio? Mbona evidence zipo nyingi tu
 
Akili za Ki Lumumba bana,

Hivi kukutaza wewe usije kwangu nahitaji sheria yoyote? Yaani niwe na either information au evidence au hata nisiwe navyo hata kimojawapo nikijiskia tu wewe usije kwangu nina haki na uwezo wa kukuambia.
 
Kwahito Zuio lao kwa makonda ni batili?? Kesho msindikize Makonda USA
 
Akili za Ki Lumumba bana,

Hivi kukutaza wewe usije kwangu nahitaji sheria yoyote? Yaani niwe na either information au evidence au hata nisiwe navyo hata kimojawapo nikijiskia tu wewe usije kwangu nina haki na uwezo wa kukuambia.
Hawa ndio akina Ole Sabaya, Mrisho gamble na Akina Happi wanajaribu kumtia moyo mpendwa wao imeshabackfire.
 
Kwanini Pompeo asitekwe au apewe kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa "makatazo"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…