jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Fanya upendalo ambalo halivinji haki ya mwingineUlimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.
Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.
Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?
Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?
Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?
Nifunzeni wanajamii tafadhali.
Wewe mshamba flani ambaye unataka watu waishi utakavyo zama hizi sio kweli