Status za RIP Pele

Status za RIP Pele

Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.

Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.

Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?

Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?

Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?

Nifunzeni wanajamii tafadhali.
Mnaanza kuwapangia watu matumizi ya simu zào? Wewe status ya Malaya wako unayoweka inatusaidia nini Sisi? Kuna Marehemu huwa anajua kuwa kawekwa status huku duniani yeye akiwa ahera? Simba na Prison wamesimama dakika moja kumkumbuka Pele, ina maana Pele alikuwa anamjua John Boko?
 
Watu mna wivu hata na wafu? Kwahiyo roho imekuuma ulitamani uwekwe wewe?
Iwe trend iwe ushamba. Kila mtu anakienzi kile alichokipenda, watu walimuweka Queen Elizabeth. Itakuwa Pele aliyetuburudisha kwenye mpira.
R. I. P mchawi wa mpira duniani Pele...
G.O.A.T
Kuna mijitu mifala nchi hii sijawahi kuona. Yaani Mimi nikiweka hata picha ya Kuku yeye inamuuma nini. Yaani hata Marais na watu mashuhuri wote waliompost Pele yeye anawaona washamba wakati anaishi Kwa shemiji yake Kibada?
 
Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.

Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.

Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?

Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?

Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?

Nifunzeni wanajamii tafadhali.

Bado hawajui wanataka nini kizazi cha dot.com
 
Young PELÉ
Screenshot_20221230-194412.jpg
 
Nashangaaa ,najiulizaa ni ulimbukenii ama ni nini hivi ukiwa na huzuni kupita kiasi utaweka hata status,mtu huyo ukimwuliza tu pele ana wastani wa goal ngapi kwa match moja hana jibu ila anataka kuonekana anajua vitu

Daaah apumzike kwa amani

Na wengi wao ni mahaters wa Messi ndio wanatusumbua humu..
 
Nyie mnaoshangaa hao wanaoweka status (mwanandinga Pele) ndo waajabu. Hivi unawashwa nini na ushamba wa mtu mwingine, kwanza hujachangia bando lake, humjui na hata kama unamjua kwa nini uingilie starehe yake?

Kama mimi ndio sina time nae.. niache kuweka status vitu muhimu na faida kwa wengine eti niweke status zake na R.I.P,
 
Vitu unavyoona ni muhimu kwako kwa wangine wanaviona ni upuuzi mtupu pia na hata hawaviangalii.Ndivyo Dunia ilivyo.
 
Ulimwengu wa Soka umefikwa na msiba mkubwa sana wa Mwanasoka ambaye amekubalika kuwa bora aliyewahi kutokea duniani Edson Arantes do Nascimento almaarufu Pele.

Waswahili wengi wamekuwa wakiweka picha kwenye status zao za whatsapp na maneno kama RIP King na majina mengine mazuri.

Swali ni je, nani anaona hizo status? Lengo ni nini?

Ama ni trend ambayo usipofanya utaonekana mshamba na uliyenyuma ya mambo?

Ni kweli ulimjua Pele kiasi cha kumuweka kwenye status zako?

Nifunzeni wanajamii tafadhali.
Wapuuzi Sana mtu hujawai kumuona akizakata mpira

Hpn ila ampumzike kwa amani tuko nyuma tu Ni swala Muda tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama mimi ndio sina time nae.. niache kuweka status vitu muhimu na faida kwa wengine eti niweke status zake na R.I.P,
mpaka ukafikia kutumia muda wako kusoma na kutoa maoni yako basi ujue una time naye in a negative way kiongozi.
 
Wapuuzi Sana mtu hujawai kumuona akizakata mpira

Hpn ila ampumzike kwa amani tuko nyuma tu Ni swala Muda tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Wanaomkubali pele hawajamshuhudia LIVE, ukiwauliza watakuambia ana world cup 3😅😅 au nimeona clip zake😅

Messi and Diego Armando ndio wachezaji bora kuwahi kutokea...
 
Back
Top Bottom