Status za RIP Pele

Wacha makasirikio hujatumwa kuview status za watu
 
Ni ujinga ambao huenda wewe na mm hatuna ila kuna ujinga mwingine ambao huwa tunafanya.

Sasa Kila mtu akae na ujinga wake, Mm nadhani tusipangiane. Kila mtu afanye analofurahia ilimradi havunji sheria. Kwani sio ujinga kujadili nani anajua kati ya messi na Cr7?

Tunapowajadili tunakuwa tunawafahamu? Wake zetu huwa wanashangaa tunatumiaje zaidi ya lisaa kuwajadili wachezaji huku tunakunywa pombe.
 
Kuna kitu kinaitwa PSYCHOLOGICAL SOCIAL PROOF mfano wake ndio kama huo unavyosema yaani watu wanapost tu wanaenda na beat ila hawaelewi nini wanafanya kwa mfano umetokea msiba wa ndugu wa karibu au rafiki wa karibu wewe ukaamua kumpigia simu wahusika na kuwapa pole ila usipost kwenye mitandao basi yule atakayepost ataonekana wa maana kwa jamii kuliko ww na pengine watu watasema mlikuwa hampatani kwasababu tu hujapost hivyo hivyo ndio hutokea kwenye birthday party na siku za ibada ikifika ijumaa mtu anaandika aljumaa Kareem lakini msikitini haendi mwingine ikifika juma pili anapost kwaya ila haendi kanisani hiyo ndio dunia ilipofikia kwa sasa.
 
ni ushamba tu unaofanywa na washamba ambao wanahisi wakifanya hawatoonekanwa washamba.
 
ni ushamba tu unaofanywa na washamba ambao wanahisi wakifanya hawatoonekanwa washamba.
Sampuli ya watu kama nyie nitaitumia kufanya research titled" Kwa nini Mungu aliruhusu kuzaliwa binadamu anayefurahia kunya na binadamu anayefurahia tobo la kutolea mavi."
 
"Always gonna be a big house somewhere, long as people in that mf love you dearly"
#loveyourz
 

"Pilipili sio kelele nimesonga nipo mbele,kwenye kilele mwana napiga misele wanga wana viherehere maMCs wanaona gere ,Masela wananiambia UMECHEZA KAMA PELE." - Travellah
 
Now if so, then is it fair when you see all your friends who never met Pele post on their statuses "RIP pele, We will miss you" i??
That depends on how everyone's posting the #RIP statuses affected by the such news.

Being a member of the football world puts you in a group of the ones lost their lovely member (a great player and an icon who got to the game).

Knowing that, puts a smile on my face seeing the football world showing love to the legend by posting his iconic images, and mentioning his unforgettable name.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…