Status za RIP Pele

Vitu unavyoona ni muhimu kwako kwa wangine wanaviona ni upuuzi mtupu pia na hata hawaviangalii.Ndivyo Dunia ilivyo.

Eti R.I.P πŸ˜…

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ’ͺ🏽
 
Wewe utakuwa Shabiki wa Messi.

Huyu ndio PELE. Aliyefungulia watu dunia kwenye football.
 
Wanaomkubali pele hawajamshuhudia LIVE, ukiwauliza watakuambia ana world cup 3πŸ˜…πŸ˜… au nimeona clip zakeπŸ˜…

Messi and Diego Armando ndio wachezaji bora kuwahi kutokea...
kutofautiana ndo dunia yenyewe, wengine wanacheza dhumna, wengine mdumange, wengine table tenes, wengine washabiki wa Pele hata kama hawajawahi kumwona na wengine Amando na wengine tunamshabikia Jella Mtagwa, ilimradi burudani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…