na usiijue kbs ni km bettNipo serious mkuu, sijawahi kuangalia status yoyote Ile maana Nilikua sijui hata inapatikana vipi.Ingawa Nasikiaga watu wakisema khs mambo ya status,Mimi nilikua najua Status Ni Profile Pic mkuu.
sijakuelewa ongeza sauti,,,.Una mpost bebi alafu kwenye status privacy unamuweka aone yeye peke yake😊
Yes akili ndogo sio rahisi kutambuaHahaha noma sana, sema mpori pori sio rahisi kushtuka
Safi mkuuNipo serious mkuu, sijawahi kuangalia status yoyote Ile maana Nilikua sijui hata inapatikana vipi.Ingawa Nasikiaga watu wakisema khs mambo ya status,Mimi nilikua najua Status Ni Profile Pic mkuu.
mara anakuomba screenshot status viewsUna mpost bebi alafu kwenye status privacy unamuweka aone yeye peke yake[emoji4]
Hahah mkuu ulivyosema hio MYOB nimekumbuka Kuna accounting software niliwahi kuitumia inaitwa hivyo.Safi mkuu
Kuna formula tulikuwa tunaita Myob utaskia ngoja ni apply Myob
Yaani Mind My Own Business
Sasa wewe ndio huyu Myob
Anatupia picha za vitenge kama 20 hiviii 😂😂😂😂 wafanyabiashara wana bore sanaaNime mute wafanyabiashara wote,
Ni kero kwa kweli
Sasa whatsapp ina miaka mingapi?Wasukuma haya Mambo ya status ndo mmeyajulia ukubwani
inngia sehemu ya status hapa, kama kuna wenzako wanapost utaziona na wewe ukitaka kuweka unaminya kwenye "my status" hapo
ukiwa serious sana na maisha unazeeka[emoji13][emoji13]Naona kero,watu wana post vitu vya hovyo.View attachment 2239453
Telegram ndo hakufai kuleashoha ni wengi kupita maelezo.Ndiyo maana nilikimbilia Telegram.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wacha nishakuwa kibibiukiwa serious sana na maisha unazeeka[emoji13][emoji13]