Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa muongozo.Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi.
Kwa ufupi status zinakuwa na taarifa za mtu binafsi kuzidi hata magroup ambayo kunawatu wengine hatujuani na tusingependa mambo yetu binafsi wayaone
- Mtu akifiwa tutajua kwa haraka kupitia status
- Mtu akipanadishwa cheo hupendelea zaidi status kupost.
- Mtu akipata mtoto atapendelea kutumia WhatsApp status kutufahamisha kwa picha
- Mtu akioa tutaziona video kwa status watu wake tunaomjua
- Tunawajua hata watoto wa wenzetu wa mbali kupitia status
- Marafiki wa zamani kam wa shule ya msingi pia inakuwa burudani kuona status zao
Imekuwa ni njia nzuri sana ya kuhabarishana, kuburudishana, kuelimishana, n.k na ni ngumu kukuta mtu anapost upuuzi maana kwenye namba alizosevu wapo hata wazazi wake.
Hahahaaah kumbe ndio mnavyofanya....Una mpost bebi alafu kwenye status privacy unamuweka aone yeye peke yake😊
Kuna watu yaani wanapenda sana hizo status, kila anachofanya anapost...NB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
hio katika wabongo 10 hata 1 unaweza usimkuteVipi sisi watumiaji wa Signal huu hii ndo private messenger ya kuaminika
Mmhhh.Status Nafurahia nikikuta memes
View attachment 2239368
Akikwambia utume views ajiridhishe , unachomokaje hapo ?Ahahaha michezo ya malejendi hiyo.
Unawamute woooote wasione kisha unamuacha aone peke yake tu.
Sio wote arifuAnatupia picha za vitenge kama 20 hiviii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wafanyabiashara wana bore sanaa
Tunasema umemuweka kabatini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]WhatsApp status imeingiliwa na wafanyabiashara tunakoma[emoji1373][emoji24] kuna dogo mmoja alikua anapost status msipo view anawashushia Kwenye namba yako haha nikam mute& archive fasta anapambana na hali yake huko!!!
Lakini sms zao si bado zinakufikiaWhatsApp inaboa nowadays imekua kama FB/Meta bora telegram atleast! Nipo kama sipo nimeziarchive namba kibao nimeacha muhimu tu!
Satanic mindsetNB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
Itakua Dada😜😜😜Mmhhh.
Ume view status yangu nini wewe!!!?
Nmetoka kupost jana hii [emoji12][emoji1787]
Nenda photogrid una edit tuAkikwambia utume views ajiridhishe , unachomokaje hapo ?