Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri

Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri

NB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
 
Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi.
  • Mtu akifiwa tutajua kwa haraka kupitia status
  • Mtu akipanadishwa cheo hupendelea zaidi status kupost.
  • Mtu akipata mtoto atapendelea kutumia WhatsApp status kutufahamisha kwa picha
  • Mtu akioa tutaziona video kwa status watu wake tunaomjua
  • Tunawajua hata watoto wa wenzetu wa mbali kupitia status
  • Marafiki wa zamani kam wa shule ya msingi pia inakuwa burudani kuona status zao
Kwa ufupi status zinakuwa na taarifa za mtu binafsi kuzidi hata magroup ambayo kunawatu wengine hatujuani na tusingependa mambo yetu binafsi wayaone

Imekuwa ni njia nzuri sana ya kuhabarishana, kuburudishana, kuelimishana, n.k na ni ngumu kukuta mtu anapost upuuzi maana kwenye namba alizosevu wapo hata wazazi wake.
Ahsante kwa muongozo.

Privacy ni jambo la muhimu sana, kila mmoja wetu anapaswa kuchagua aina ya privacy anyoitaka
 
NB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
Kuna watu yaani wanapenda sana hizo status, kila anachofanya anapost...
 
Vipi sisi watumiaji wa Signal huu hii ndo private messenger ya kuaminika
 
WhatsApp status imeingiliwa na wafanyabiashara tunakoma[emoji1373][emoji24] kuna dogo mmoja alikua anapost status msipo view anawashushia Kwenye namba yako haha nikam mute& archive fasta anapambana na hali yake huko!!!
Tunasema umemuweka kabatini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
NB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
Satanic mindset
 
Back
Top Bottom