Status za WhatsApp zimekuwa njia nzuri kwa watu mnaojuana kujuzana, kuburudishana, kuelimishana, n.k. Facebook na Instagram hakuna usiri

NB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
 
Ahsante kwa muongozo.

Privacy ni jambo la muhimu sana, kila mmoja wetu anapaswa kuchagua aina ya privacy anyoitaka
 
NB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
Kuna watu yaani wanapenda sana hizo status, kila anachofanya anapost...
 
Vipi sisi watumiaji wa Signal huu hii ndo private messenger ya kuaminika
 
WhatsApp status imeingiliwa na wafanyabiashara tunakoma[emoji1373][emoji24] kuna dogo mmoja alikua anapost status msipo view anawashushia Kwenye namba yako haha nikam mute& archive fasta anapambana na hali yake huko!!!
Tunasema umemuweka kabatini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
NB: what's status ni kwa wanawake kama ww ni mwanume kila siku unapost status WhatsApp mpaka duara linajaa kama tairi la baiskeli jitafakari real men don't pretend like that.
Satanic mindset
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…