TANZIA Stekamba Dunia, member wa JF ni mmoja wa marehemu wa ajali ya Ndege Bukoba

TANZIA Stekamba Dunia, member wa JF ni mmoja wa marehemu wa ajali ya Ndege Bukoba

Sifuti na ww acha shobo zako usikurupukie watu usiowajua vizuri. Unaandika utumbo tuu... nina kiherehere nimekuandikia ww ukisome?.mm na ww nani mwenye kiherehere. Yani muda wote kumbe ndo ulikua unatype huu utumbo hapa.
Unafuatilia hadi muda ninaotumia kutype ?
 
Tungejua jina lake member mwenzetu jamani ukute ni ndugu na jamaa tuliowazika wengine majirani zetu.
Kuna member mmoja niliona kaanzisha thread iliyoandikwa majina yote ya waliokufa sikuhiyo
 
Huyu jamaa hajafariki....
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] yuko wapi???sasa
 
RIP. Ila nna swali. Mtu alikua anatumia Id ambayo sio ya kwake halisi, mods wanajuaje kwamba mtu huyu alikua ana tumia id husika? Au huwa mnawajua personally
 
Rip
Mungu awape nguvu familia yake kwa kipind hiki kigumu
 


Apumzike Kwa Amani,

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe


Amen
 
Back
Top Bottom