Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawakala wa Chadema mna kazi sana. Upinzani umeshindwa kuwaunganisha Watanzania wawe kitu kimoja ili kurahisisha ushindi kwenye chaguzi badala yake mnawatukana walio na itikadi tofauti na nyie kwamba ni mazezeta, unategemea kuvuna kitu gani kama wengi na usiowataka ni mazezeta?Tuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani?
Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia
Tuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani? Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia
Kama ile Stand ya Morogoro kwa sasa ishachakaaTatizo ni Utunzaji.
Watz si wastaarabu labda kwa fimbo
Kama ile Stand ya Morogoro kwa sasa ishachakaa
Millard mbona kila project mpya huwa anafanya hivi. Unataka kusema kaanza mwaka huu?Millard Ayo huko nyuma hakuwa hivi lakini ndio hivyo mambo ya uvunguni sasa yanaibuliwa na chaguzi zinazokuja na wengi tu wataibuka kutoka kusikojulikana
Usifanajishe airports na vitu vya ajabu aisee. Airport zimekuwa designed ku accommodate ndege. Kubwa hadi ndogo na zina miundo mbinu ya tofauti kbs.Kingston-Norman Manley Airport Jamaica
Kaangalie Msamvu. Kaanze na vyoo utajua Watz si watuStendi nzuri inapendeza,kitu muhimu ni utunzwaji pamoja na service,kitu kikiharibika kitengenezwe na sio kuachwa hivyo hivyo tu,mfano hata kama taa moja itaungua basi ibadilishwe/itengenezwe siku hiyo hiyo,watu wawe wastaarabu kwenye utunzaji wa vitu, kwani hiyo stendi ni mali yao,
KITUNZE KIDUMU.
Wajinga wengi wapo CCM, ndiyo maana CCM inashinda vijijini kuliko mjini.Tuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani? Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia
Airport zote Tanzania isipokuwa JNIA peke yake zimezidiwa uzuri na mandhari na stendi ya mabasi ya Dodoma. Hata KIA yenyewe inaweza kuwa sawa tu au kuzidiwa na stendi ya DodomaTuache kujidanganya, hii stendi unaweza kuifananisha na airport gani? Kuwa mwana CCM lazima uwe zezeta, kazi yako ni kusifu na kuabudu bila kufanya reasoning ya kile unachokisifu na kukiabudia