KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Umesema hiyo stendi imejengwa.zaman zaid ya miak 25 iliyopta sababu zngne the stendi is old enough hayo.mengine yametokeza sasa.
 
uko sahihi ila wenye mamlak cjui hawaoni
 
Umesema hiyo stendi imejengwa.zaman zaid ya miak 25 iliyopta sababu zngne the stendi is old enough hayo.mengine yametokeza sasa.
Soma bandiko langu vyema, nimeeleza kila kitu kwa upana.
Hivi uchafu wa stendi unahusika vipi na uchakavu?
Mpangilio mbovu wa matumizi ya stendi unahusika vipi na uchakavu?

Hata kama ingekuwa imejengwa miaka mia moja iliyopita, kwanini nyufa, mashimo na kupauka kusikarabatiwe?

So far nimesema, japokuwa ni stendi ta zamani kidogo lakini design yake bado ni ya kisasa.
 
Mnataka mastendi ya usumbufu wa kudaiana sh 300 huku umekata tiketi ya elfu 50

Stendi ya Moshi haina huo ujinga
 
Uongo kwa kitu kimoja tu huwezi kutipa taka ukaachwa ila mengineyo yote is true vile vyoo vinanuka
 
Mfano ile stendi ya Nyegezi pale Mwanza, yale maduka kule ndani inamaana ni lazima uwe abiria ndio ukanunue maana utadaiwa 300 mlangoni

Akili za mwafrika ni laana tupu
 
Kwamba stendi imejengwa zamani, huo siyo utetezi.
Unaacha stendi inachafuliwa na mateja na wafanyabiashara kisa standi kongwe?
Mnashindwa kusafisha choo, kuhakikisha maji yapatikana muda wote, taa zinawaka na biashara nyingine zifanyike kwa utaratibu.

Baraza la madiwani linafanya kazi gani hapo?
 
Umesema hiyo stendi imejengwa.zaman zaid ya miak 25 iliyopta sababu zngne the stendi is old enough hayo.mengine yametokeza sasa.
Vya zamani hukarabatiwa, husafishwa na kuboreshwa.
Mnakwama wapi, mbona mji wenu una sifa nyingi za usafi tangu kitambo?
 
Mkuu nilikuwepo hapo moshi mwezi 2-9 nikiwa naenda na kurudi hakika uliyosema nikweli100% pamekaa kihuni sana wizi Nje Nje pale.

Mkuu wa mkoa na hili mkalitazame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…