Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

Hawawawezi zingatia hawa

Miezi 3 tu hapo chali

Ova
Yaani wana undugu na uchafu
Bora kungekuwa na wizara ya Uchafu maana sio kila kitu kuiga wazungu

Na sisi tuwe na wizara zetu kutegemea na maisha yetu kama idara ya wizi na uchafu
 
Msamvu ni kibanda tu kwa sasa,Mwanza wanavyuma 2 vikali sana Nyamongolo Bus Terminal na hii Nyegezi.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Nambie kwa kifupi sana! Zinakusaidia nin?maana nyamhongolo watu wameshindwa kulipa kodi za frem mle ndani! Stand gani inazidiwa makusanyo na yale majaruba yaliogeuzwa stand pale kisesa kona ya kayenze
 
Hizo akili za kulinganisha bus terminal na airport sisi hatuna!
 
Nambie kwa kifupi sana! Zinakusaidia nin?maana nyamhongolo watu wameshindwa kulipa kodi za frem mle ndani! Stand gani inazidiwa makusanyo na yale majaruba yaliogeuzwa stand pale kisesa kona ya kayenze
Wewe huna akili nadhani,hivi unaijua Stend ya Nyamongolo au unaisikia? kamuulize mkurugenzi wa Ilemela akueleze namna mapato yalivoongezeka baada ya kuanza kazi stend.Mwaka jana walikusanya b 9 + mwaka huu wanaweka malengo ya kukusanya b 13 hadi kufikia robo ya 3 mwezi march walikuwa walikusanya b 12. Usipende kuongea vitu usivojua Nyamongolo ni uti wa mgongo wa mapato ya Ilemela kwa sasa pamoja na Soko la kimataifa la dagaa na samaki pale Mwaloni.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
uwakumbushe pia kutokuingia na vifaranga vya kuku ndan ya ma bus! Wanatuachia mbegu za utitiri tukaoteshe kwetu
Unanikumbusha jamaa mmoja alivyosikitika kupanda basi moja lililotokea Bariadi kwenda Dar. Anasema basi lilijaa Wanyantuzu. Anasema kuwa basi zima ilikuwa ni kelele safari nzima.

Mtu akitaka kujisaidia, bila ya kujali utaratibu wa basi wamepanga basi lisimame wapi, anaanza kumpigia kelele dereva mpaka asimamishe basi. Halafu akadai kuwa jamaa hawaoni shida, mmoja amekaa siti ya katikati ya basi, mwingine yupo siti ya mwishoni kabisa mwa basi, lakini wanaenda wanaongea safari nzima, hivyo inakuwa ni kupwayuka hasa. Akasema hapandi tena basi linalokuwa limepitoa huko kwa wanayantuzu.
 
Ukweli hii stendi ni nzuri hebu fikiria nilipanda bus hapo mwaka jana 2022, Novemba nikisafiri kwenda Musoma na kushuka stendi mpya ya Musoma vitu viwili tofauti lakini zote zipo nchi moja.
 
Airport inakuaje katikati ya mji? Hiyo haina miaka 10 mbele itakuwa ya daladala. Mnasifia vitu kwa kuangalia rangi ,za majengo. Waliojenga hii ni akina nani wapi? Na huu nao ni uzalendo?
 
Hata mimi sijamuelewa kweli
Ameamua kutokuwa mnafiki wa kutompa maua yake na anayetekeleza ndoto za mtangulizi wake, hapo ndipo wenye chuki na upendeleo msipotaka kumuelewa........ingawa najua nafsini mwenu, kama binadamu, mnamuelewa vizuri tu!
 
Ukiona stand za mabasi za mikoa ya mbeya au Arusha.unaweza kulia
 
Ungekuwa mkenya lazima ungekuwa mtu wa Usenge, county ya Siaya; kwa kuwa ni mbongo basi nina haki ya kuamini kuwa wewe ni mtu wa mwisenge kule mjini Musoma, Mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…