Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

So what is the moral of the story?
Should we abandon our religious faiths and live like cows?
Does religion interfere with our scientific discoveries?
Is it harmful to believe in God?
 
Behaviourist unasema "biblia yenu" lini uliikana biblia ?
Biblia inayodai kuwa Mungu ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote,mwenye maarifa yote na ni mkamilifu(Mathayo 5:48)halafu Mungu huyo huyo anaumba dunia ambayo mabaya yanawezekana hiyo biblia moja kwa moja imethibitisha kuwa Mungu huyo hayupo mkuu!
 
Upepo hatujawahi kuuona ila tunasema upo kwa kuwa tunaona tu matendo yake kama kupuliza kupeperusha n.k
Vipi wewe unayesema MUNGU hayupo kwa kuwa tu eti hajawahi kuonekana ijapokuwa tunayaona matendo yake
 
Biblia inayodai kuwa Mungu ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote,mwenye maarifa yote na ni mkamilifu(Mathayo 5:48)halafu Mungu huyo huyo anaumba dunia ambayo mabaya yanawezekana hiyo biblia moja kwa moja imethibitisha kuwa Mungu hayupo mkuu!
Mkuu sikuwai kufahamu kuwa umeikana biblia, huwa najua unapenda ku challenge ideas lakini sikuona ukija kuikana completely. Nakumbuka kipindi fulani uliitumia vizuri kumshauri mtu humu naona Leo umeikana.
 
Simple mind
 
Kiranga yeye anachohitaji kutoka kwenu ni mjibu swali moja tu:Kama dunia imeumbwa na Mungu ambae ni mjuzi wa yote, mwenye huruma yote, muelewa wa yote,kwa nini hakuna perfection humu duniani?
Kwani Kuna andiko lolote Mungu alilosema kwakua yeye mjuzi wa yote,muweza wa yote,mwenye huruma ataumba dunia yenye usawa kwa watu wote?
 
Do you guess that you exist?
Kiranga do you know where the boundaries of the universe are located?Can science provide the answer to this question?
Assumptions,Assumptions with little truth may seem as truth to someone without the knowledge of God and that is how science is to those who do not believe there is God.They think science is the solution to their problem,am no saying scientists are completely wrong,they have just a piece of the whole knowledge unfortunately those who believe there is no God they think scientists have it all.
Kiranga mpokee Yesu leo,hizi elimu za duniania si mbaya kuzijua ila kama zitakufanya useme hakuna Mungu ni bora ungebaki kijijini kwenu unalima na kufuga ng'ombe.
 
Kwani Kuna andiko lolote Mungu alilosema kwakua yeye mjuzi wa yote,muweza wa yote,mwenye huruma ataumba dunia yenye usawa kwa watu wote?
Usawa tena??.... au umeshindwa kuelewa maana ya neno perfection mkuu??... ok lets go:Mungu hayupo kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye huruma yote na mkamilifu hawezi kuumba dunia ambayo mabaya yanawezekana!
 
Usawa tena??.... au umeshindwa kuelewa maana ya neno perfection mkuu??... ok lets go:Mungu hayupo kwa sababu Mungu mjuzi wa yote, mwenye huruma yote na mkamilifu hawezi kuumba dunia ambayo mabaya yanawezekana!
Wapi Mungu anasema kwakua yeye muweza wa yote,mjuzi wa yote ameumba ulimwengu ambao mabaya hayatatokea?
 
Hakuna mji/mjengo usio na mjenzi.
Mwanafalsafa na msomi wa ki Greece Kreecha huyu jamaa alikuwa haamini uwepo wa Mungu alikuwa anatoa mahubiri mbalimbali kuhusu kutokuwepo kwa Mungu.Kuna siku kreecha alimtembelea rafiki yake alimkuta ameshika tufe lililofinyangwa kwa udongo mithili ya dunia, Anasetus Kreecha akamukiza yule rafiki yake ni nani aliyefinyanga tufe hili kwa ustadi mkubwa namna hii? Rafiki yake akamwambiya limejifanya lenyewe hili tufe, Kreecha akabisha sana akasema haiwezekani lijifanye lenyewe lazima Lina mfanyaji wake.Rafiki yake akamwambia hili umbo dhaifu tu la tufe mithili ya dunia unakataa halijajifanya lenyewe alafu unakazana katika mafundisho yako dunia imetoka from nothing. Kreecha hakuwa jibu
 
Wapi Mungu anasema kwakua yeye muweza wa yote,mjuzi wa yote ameumba ulimwengu ambao mabaya hayatatokea?
illogical a.k.a pumba!!....ni sawa na kuuliza wapi Magufuli alisema kwa sababu yeye ni raisi atakuwa amri jeshi mkuu?
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujathibitisha roho ipo.

Hujathibitisha pepo ipo.

Kwa nini?

Kwa sababu huwezi.

Kwa nini huwezi?

Kwa sababu Mungu,roho na pepo havipo. Ni vitu vilivyotungwa na watu tu.

Kamaunabisha, thibitisha vipo.
 
Unaelewa ukianza kwa kusema hakuna mji/ mjengo usio na mjenzi, umesema kwamba hakuna Mungu?
 
Unauliza swali halafu kabla sijajibu umeshajijibu mwenyewe swali uliloniuliza mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…