Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

I am not gay, what has that got to do with the discussion here?

Are you a rapist?

Thibitisha Mungu yupo.
No tai chi method kwa upuuzi kama huu

Show the beast on You [emoji51]

Kanikera mpaka Mimi Ovyo kabisa
 
Yeye katoka wapi?
Kwa Baba na Mama yake.

Swali la "katoka wapi" ukilifuatilia sana, uajikuta linakupeleka kuelewa kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu, ukisema yupo, utaulizwa, Mungu katoka wapi?
 
No tai chi method kwa upuuzi kama huu

Show the beast on You [emoji51]

Kanikera mpaka Mimi Ovyo kabisa
Kama watu kama hawa ndio watetezi wa huyo Mungu, huo ni ushahidi mwingine huyo Mungu hayupo.

Aangekuwepo asingeruhusu mataahira kama hawa kujinasibisha na watetezi wa Mungu.
 
Kama watu kama hawa ndio watetezi wa huyo Mungu, huo ni ushahidi mwingine huyo Mungu hayupo.

Aangekuwepo asingeruhusu mataahira kama hawa kujinasibisha na watetezi wa Mungu.
Na kama yote haya yanawezekana

Ni kwamba huyo Mungu lazima kayaridhia

Sasa inakera kuona jiTu linajivesha Unazi bila sababu na mahaba yenye vielement vya uoga bila sababu
 
Sana tu mkuu, wiki mbili zilizopita milikuwa ninasibiri maamuzi is a ajira. Baada ya interview Saudi iliniambia hili swala last nahitaji Salamu Maria 50. Nilianza kusali na baada ya siku mbili nilipata email ya hongera. Ni Mungu sana tu mkuu
Shem umekuja tena huku??!
 
Mimi ndoa yangu atafunga Kiranga!
Kule Las Vegas kuna wanaofunga ndoa “ in the name of Elvis Peasly”. Sitashangaa

1539979053805.jpeg
 
Kwa Baba na Mama yake.

Swali la "katoka wapi" ukilifuatilia sana, uajikuta linakupeleka kuelewa kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu, ukisema yupo, utaulizwa, Mungu katoka wapi?
Wewe ulitoka wapi?
 
Back
Top Bottom