uko sahihi? yani hata huyo anayesema nyumba inaweza ikajichimba msingi yenyewe hadi ikajipaua yenyewe,huo si uchizi sasaNa hapo ndipo inapobidi ukubaliane naye kwamba kama huwezi kuthibitisha uwepo wa mjengaji au kutokuwepo kwake basi wote mko sahihi kwa misimamo yenu mpaka hapo mjengaji atakapokuwepo kuthibitisha hilo bila shaka yoyote.
Kiranga ana hoja tena kama akuna Mungu hivi ni nani alipangilia hii dunia kwenye mpangilio huuKama hakuna Mungu na tumetokea kwenye evolution kwanini kuna race tofauti?
Hapo ataleta sababu za mazingira upupu mwingine tu ili waone Mungu hayupoKama hakuna Mungu na tumetokea kwenye evolution kwanini kuna race tofauti?
Watadai ni force of gravity lakini ajabu ni kuwa force hiyo haina nguvu ya kutenda miujizaKiranga ana hoja tena kama akuna Mungu hivi ni nani alipangilia hii dunia kwenye mpangilio huu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Watadai ni force of gravity lakini ajabu ni kuwa force hiyo haina nguvu ya kufanya miujiza
[emoji122][emoji122][emoji122]Huelewi au madai hayo ni feki?
Hutakiwi kusema huelewi kitu halafu hapo hapo ukasema ni feki.
Ukisema ni feki maana yake umekielewa.
Contradiction.
Ulishaacha kuloga mkuu?The universe was created by Sir God.. Soma Section 6 of Act. No.6 of 1967
Hawawezi wakapingana na ukweli Sir God ni fundi bhana anastahiri sifaaa si kufuru.Ww angalia tu alivo waumba totozi yaan ukiangalia tu alivo pangika roho kwatu....Wambea wote na wazee wa blah blahh wote wanaingia mitini!
Rafiki kabla ya kupambana na Kiranga ni vyema kwanza ukawa na maarifa ya kutosha at least juu ya:Watadai ni force of gravity lakini ajabu ni kuwa force hiyo haina nguvu ya kufanya miujiza
Hayo ni mambo ya physics rafiki huko mimi ni MaimunaRafiki kabla ya kupambana na Kiranga ni vyema kwanza ukawa na maarifa ya kutosha juu ya:
1.consistent theory
2.theory of special relativity
3.The Law of Singularity
4.The big bang theory
Kama hivyo vitu hapa juu huna maarifa navyo usijisumbue kupambana na kiranga ni vyema ukakimbilia kwenye majukwaa ya umbea ili ukajifiche huko!
Basi rafiki achana na Kiranga na kimbilia kujificha kwenye majukwaa ya ubuyu kwa sababu misingi ya kwamba Mungu yupo au hayupo inajengwa kwenye hizo theory na laws!Hayo ni mambo ya physics rafiki huko mimi ni Maimuna
[emoji1][emoji1][emoji1] umeniwahiSawa Mungu hayupo unataka nini sasa ?
"How do you know that you actually exist here and you are not a simulation of some bits of information some billions of light years away?
Sio kweli mkuu.Rafiki kabla ya kupambana na Kiranga ni vyema kwanza ukawa na maarifa ya kutosha at least juu ya:
1.consistent theory
2.theory of special relativity
3.The Law of Singularity
4.The big bang theory
Kama hivyo vitu hapo juu huna maarifa navyo usijisumbue kupambana na kiranga na ni vyema ukakimbilia kwenye majukwaa ya umbea ili ukajifiche huko!
Hayo ni mambo ya physics rafiki huko mimi ni Maimuna