Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Unawezaje kusema Mungu ni hadithi tu na hapohapo ukasema facts siyo hadithi?Unaeleza
Unawezaje kusema Mungu ni hadithi tu na hapohapo ukasema facts siyo hadithi?
Kama unaona Mungu ni hadithi na siyo facts ni kwa vipi umeelewa Mungu ni hadithi na facts siyo hadithi?
Unadai unataka udhibitisho wa Mungu kuwepo ni kwa vipi wewe hapo unaweza kudai siyo udhibitisho na facts za uwepo wa Mungu?
Na kama wewe unaijua vema sayansi ambayo ndiyo unaiegemea kuhusu Mungu, dunia na mtu unadhibitisha nini juu ya dhana hii ya sayansi ambayo ni kani (gravitation) na dhana iliyomo katika mafundisho ya dini kuhusu Mungu ni nguvu inayotawala na kuendesha ulimwengu na vyote vilivyomo?
Hujathibitisha Mungu yupo. Thibitisha Mungu yupo.Uko kama binti alieumizwa moyo alafu anabakia na wazo hapa duniani hakuna mapenzi ya kweli. Wayahudi baada ya Hitler kuua wengi wao wakati wa vita kuu ya pili , wengi walikuja na wazo kuwa hakuna Mungu. Waliamini kama angekuwepo asingekubali yatokee hayo yaliotokea. Wewe Kiranga utakuwa umeathirika kisaikologia baada ya machungu yaliokupata ukakosa majibu sio kosa lako . You need help brother !! There are many ways to prove GOD exists and he loves you very much . There is no true friend like him , just call him and he will come to you in ways you can not understand with your human mind.
Tunapinga uwepo wa Mungu kwa sababu sifa zake ---'-zinazo muelezea hazina mantiki. ....
Kwani kilicho umba huu ulimwengu lazima kiwe/awe mungu ambaye hawezi kuthibitika uwepo wake? ...
Yaani hapo inaonyesha wazi kuwa Unaamini uwepo wa huyo mungu kwakuwa unatokea katika jamii iliyo karilishwa kuhusu uwepo wake
Unataka Mungu athibitishwe kwa namna gani labda? Maana ukiambiwa kwamba uumbaji wote ni kazi ya Mungu bado unabisha. Chanzo cha haya yote dunia jua nyota na mpangilio wote wa maisha ya kila kiumbe ni uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Huwa nashangaa sana wanasayansi wanashindwa vipi kujua kwamba kuna Mungu. Angalia kitu kama DNA, jicho, brain nk nk, ni vitu complex sana na viko well arranged kwa ajili ya kusapoti maisha na kubeba taarifa husika za viumbe. Angalia namna ambavyo mimba inatunvwa na kiumbe kinavyo develop ndani ya uterus ya mwanamke. Kila kitu kiko planned, organized.
Nani au nini ni organizer? The planner?
Thibitisha Mungu yupo kwa njia 8nayoweza kuhakikiwa na kuonesha yupo na ambayo haina contradi tion.Unataka Mungu athibitishwe kwa namna gani labda? Maana ukiambiwa kwamba uumbaji wote ni kazi ya Mungu bado unabisha. Chanzo cha haya yote dunia jua nyota na mpangilio wote wa maisha ya kila kiumbe ni uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Huwa nashangaa sana wanasayansi wanashindwa vipi kujua kwamba kuna Mungu. Angalia kitu kama DNA, jicho, brain nk nk, ni vitu complex sana na viko well arranged kwa ajili ya kusapoti maisha na kubeba taarifa husika za viumbe. Angalia namna ambavyo mimba inatunvwa na kiumbe kinavyo develop ndani ya uterus ya mwanamke. Kila kitu kiko planned, organized.
Nani au nini ni organizer? The planner?
Nathibitisha umeumizwa na dunia hizo zingine ni kelele tu. Pole sana.Unaweza thibitisha kwamba bacteria wapo bila microscope.Hujathibitisha Mungu yupo. Thibitisha Mungu yupo.
Hizo nyingine kelele tu.
Ni rahisi sana kumuelewa prof hawking kuliko kiranga,nadhani kama ningekua naongea na prof mwenyewe tungeelewana zaidi maana binafsi hua naona kiranga anafanya mambo kua magumu bila sababu.
Sasa kama hamna mbona ulikua unadai kua lipo ila nimelielewa vibaya?Kweli mkuu kwenye Qur'an hakuna andiko linalosema kuwa jua huwa linazama kwenye matope,kama wewe umeliona andiko hilo liweke.
Mkuu mtu anayepinga uwepo wa mungu ana haki ya kutumia mifano hii kwasababu wanatoa mapungufu yake, kitu ambacho kipo duniani. Lakini kwa wewe unayemuamini huyo mungu huwezi kumlinganisha na vitu vilivyokuwa na mapungufu kwasababu unaamini mungu ni mkamilifu na mjuzi wa kila kitu na hivyo basi kufanya hivyo ni kumshushia thamani huyo mungu wako ambaye ni nyali na mjuvi wa mambo yote.."'(hivi hii inaingia akilini kweli? Unajua kabisa kuwa hii nyumba nayo jenga kesho itaungua moto halafu unaweka wanao wakae humo mpaka mwakani '" Mantiki ya ujuzi wake wa yote -upendo kwa wote iko wapi hapo. ...?"
Tukijaribu kutoa mifano sie mnasema tunalinganisha Mungu na hivyo vitu ila nyie mkitoa mifano ndio sahihi,sasa wewe hapo ulikuwa unamlinganisha Mungu na nani?wakati mwengine huwa mnafurahisha tu.
Brilliant and clear explanation.Mkuu mtu anayepinga uwepo wa mungu ana haki ya kutumia mifano hii kwasababu wanatoa mapungufu yake, kitu ambacho kipo duniani. Lakini kwa wewe unayemuamini huyo mungu huwezi kumlinganisha na vitu vilivyokuwa na mapungufu kwasababu unaamini mungu ni mkamilifu na mjuzi wa kila kitu na hivyo basi kufanya hivyo ni kumshushia thamani huyo mungu wako ambaye ni nyali na mjuvi wa mambo yote..
Wanashangaza mkuu.. They are shooting themselves in the foot, and sadly enough they seem totally unaware of it..Brilliant and clear explanation.
Mtu anakwambia Mungu ana nguvu zote.
Halafu anazifananisha nguvu za Mungu huyo na nguvu za serikali ya Marekani!
Kama vile serikali ya Marekani ina nguvu zote.
If you haven't read Hawking, and you are interested "A Brief History of Time: From The Big Bang To Black Holes" (attached) is a good start.
What is "spiritual"?We should always remind ourselves that science at a large extent deals with theories and and facts at a small extent compared to theories. Therefore science is also an ignorant field on its own as it can not explain the spiritual side of things, according to science the spiritual does not exist but to many it does. How to will explain satanism in every sphere of life, witchcraft, freemansory, miracles. Conclusively Hawking was equally an ignorant person on the other side like anybody else, right now there are other scientist who proving the existence of God in the universe.
What is "spiritual"?