Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

ulimwengu
Ndugu Kiranga naweza kusema unasumbuka na uelewa. Huelewi kuhusu sayansi ndiyo sababu huelewi pia mafundisho ya dini kuhusu Mungu. Hata hicho unachodai unakielewa hueweli kinathibitisha nini.
Yaani ni sawa na kwamba, umeshindwa kuchunguza mwenendo wako, unachunguza mwenendo wa wengine ili ufanikiwe; hapo ndipo unakosa uelewa.
Mtu ambae ameshindwa kuelewa matatizo yanatokana na nini anawezaje kuelewa sayansi inathibitisha nini?Hawezi! Unawezaje kusema Mungu anakuungiza kwenye matatizo wakati huohuo wewe ukaona hausiki na hayo matatizo. Hao ni wale wasiolewa ndiyo hufanya hivyo. Kwao matatizo yanasababishwa au yanaletwa na wengine, lakini sio wao. Huu ni upumbavu!
Mungu akujaribu wewe kwa kipi ambacho umekifanya? Kipi umefanya mpaka ustahili kujaribiwa na Mungu? Huelewi dini inafundisha nini, kubali huelewi!
Kwasababu huelewi ndiyo maana unaiona dunia iliumwa yenye matatizo. Hebu tazama, mfano wa mtoto mchanga anavyozaliwa, jifunze hapo utailewa dunia na hata matatizo utayaelewa na taratibu utaelewa sayansi, kisha Mungu.
Kwasababu tayari umeshakuwa na elimu, badala ya kuegemea maandiko tu; jibidiishe ufanye utafiti mdogo kuhusu maisha yako, ndugu zako na jamii yako utajifunza na kuelewa maana ya maisha ya mtu.
Ukisha zaliwa na kuwa mwanadamu unaweza kuukataa ukweli, lakini hiyo haimanishi kwamba hakuna ukweli.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Umepiga hadithi hadithi tu.
 
Mimi Mungu wangu ni chanzo cha kuwapo mwanzo. Chanzo cha kuwapo mwisho. Sababu ya kuwapo sababu. Sababu au cause ya kuwapo reasons.
Hapa sinukuu kitabu chochote.
Natambu uwapo wangu na naelewa sayansi kwa kiwango kilichojifunzwa tayari huku nikijua kuwa kila kanachogundulika ni negligible kulinganisha na ambacho hakijagundulika bado na kadiri vinavyogunduliwa ndio kadiri visivyojulikana bado vinavyoongezeka.
Naamini sababu ya uwapo huo tunaojifunza kila mara kwa sayansi ndio ilitwngenezwa iwe. Huyo ndio Mungu wangu.
Vitabu mbalimbali na makabila mbalimbali walishabahatik tangu zamani kila watu na style yao ya kutambua uwapo huo.
Mie kama scientist wa kiwango kidogo above average. Sielewi mtafiti wa ukweli anaachaje kuina hio nguvu
 
Pole ndugu.
Kama huoni Mungu kwenye kazi yake basi endelea polepole na maisha ila.nakutakia tafakari njema bila kiburi cha kuweza haya machache unayoyaona kama mengi
Hujathibitisha Mungu yupo.

Umepiga hadithi hadithi tu.
 
Pole ndugu.
Kama huoni Mungu kwenye kazi yake basi endelea polepole na maisha ila.nakutakia tafakari njema bila kiburi cha kuweza haya machache unayoyaona kama mengi
That pile is condescending. Pole nikupe weee unayeamini kitu ambacho hata huwezi kuanza kukithibitisha.

Kazi ya Mungu ni ipi na unajiridhishaje kuthibitisha kwamba hii nibkazi ya Mungu, si kingine chochote?

Kiburi ni kulazimisha vitu ni kazi ya Mungu bila hata kutoa uthibitisho.

Wewe ndiye mwenye kiburi hapa.

Unalazimisha mambo bila hata kutoa uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo. Tuambie hiyo unayosema kazi ya Mungu ni ipi na unajuaje ni kazi ya Mungu si ya kingine chochote.
 
Unalazimisha hadithi.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
AHAHHAHHAHH UNA..JUA SIKU SOMA HII.MAANA NILIONA NI UPUUZI AMBAO MTU MMOJA ANATAKA AWAPE WENGINE..


SASA SAIV NDIO NAANZA KUSOMA ET ANASEMA "I think the universe was spontaneously created out of nothing, "


NIMEISHIA HAPO HAPO MANA NIMEKUA NA MASHAKA NA AKILI ZAKE

1.
IVI KWELI KITU KINAWEZA KUTOKEA PASINA KITU ...SOMETHING FROM NOTHING???? EBU ATOE KWANZA DEFINATION YA NOTHING..

2. KUMBE YEYE MWENYEWE ANAFIKIRI ..NDIO MANA ANASEMA" I THINK"

KWA IYO HOJA YAKE FROM NOTHING

NAIVUNJA KWENYE VIPANDE ELFU..

YAAAN HAIJAWAI KUWEZEKANA NA HAITOKUJA KUWEZEKANA..IN OTHER WORD IITS NONSENSE

ONLY ONE EXISTENCE HAS THE BEGINING AND THE END OF EVERYTHING ..GOD. ONE GOD
 
Unajua hapa utajichoresha bure!.

Ebu tuambie "Character" ni nini?.
 
mungu muweza wa yote - wakati tunaona wenyewe kuwa anashindwa kuutumia uweza wake wa yote kumdhibiti shetani --lazima tuhoji huo uweza wake wa yote uko wapi ??

Kijana asubuhi njema maana hatutaelewana.
Ebu toa Maana ya maneno haya "MUWEZA WA YOTE" Alafu sema kama unayoyaita maovu si sehemu ya MUWEZA WA YOTE.
 

Umesahau kumtaja Prof. John Lennox mtaalamu wa hesabu toka Oxford University. Very smart. Anaamini uwepo wa Mungu.

Sijui kwann wakina Kiranga wanashindwa kutupa comments za hawa wanasanyansi pia wamekomaa na Hawkins tuu
 
Umesahau kumtaja Prof. John Lennox mtaalamu wa hesabu toka Oxford University. Very smart. Anaamini uwepo wa Mungu.
Sijui kwann wakina Kiranga wanashindwa kutupa comments za hawa wanasanyansi pia wamekomaa na Hawkins tuu
Hawawezi kufanya hivyo maana itaonesha kumbe kusema hakuna Mungu ni misimamo yao binafsi na si suala la kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…