Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

Kwanza hawa wanafahamu maana ya vifungu hivi:-MUWEZA WA YOTE NA MWENYE UPENDO KWA WOTE?.

Hivi maneno hayo yana limitation?.
 
Kwani huo UPUMBAFU ni nje ya YOTE?.
 
Huyo mnadekeza tu,ni mweupe kabisaa.Ebu mwambie athibishe kama UPUMBAFU ni nje ya YOTE?.Maana,Mungu ni muweza wa YOTE.Kwa nini wapumbafu anawatoa katika YOTE?.
 
Si kweli,maana character ni muwakilishi wa aliyepo,yaliyopo,kilichopo.
 
Hayo unayosema mabaya, ni nje ya UJUZI WOTE?.
Fungu hili (UJUZI WOTE) Lina limitation?.
 
Umesahau kumtaja Prof. John Lennox mtaalamu wa hesabu toka Oxford University. Very smart. Anaamini uwepo wa Mungu.

Sijui kwann wakina Kiranga wanashindwa kutupa comments za hawa wanasanyansi pia wamekomaa na Hawkins tuu
Prof John Lennox akiacha kuamini Mungu utakubali Mungu hayupo?

Yani Mungu wako hawezi kusimama mwenyewe, kusimama mpaka apate muhuri wa Prof. John Lennox?

Unaamini Mungu yupo kwa imani yako mwenyewe au kwa sababu Prof John Lennox kasema?

Akitokea Prof mkali kushinda John Lennox anasema Mungu hayupo, utaacha kuamini Mungu?
 
Napita kuangalia kama kuna mtu kathibitisha Mungu yupo tu.

Naona bado.

Mtu akiweza kuthibitisha Mungu yupo naomba nistue.
We mwenyewe umeisha thibitisha uwepo wake.Kwani umewezaje kumuita MUNGU?.
 
Ebu eleza maana ya maneno haya:-MJUZI WA YOTE.

Alafu niambie kama MABAYA/MAOVU ni nje ya YOTE.
 
Utakapojiongeza kidogo kwa kutumia akili na utashi wako bila kutumia maandiko ya watu wowote... including waumini wa dini mbalimbali au wapinga dini utajua ukweli na utakuwa huru

Atakuambia thibitisha kuwa Mungu yupo acha longolongo.

Ukimuambia nithibitishe kwa njia gani (maana watu wameshatoa uthibitisho) hatakuambia njia anazotaka umthibitishe huyo Mungu, au labda anataka njia za kisayansi labda umchukue Mungu umuweke kwenye bunsen burner baadaye umweke kwenye test tubes na conical flasks umchanganye na sulphuric acid kisha ikitokea rangi flani ndio akubali Mungu yupo[emoji23][emoji38][emoji38]. Sasa kwa mindset hiyo hapa hata mjadiliane vipi hamtafikia mwisho, mtakesha.

Kimsingi hawezi kukubali uthibitisho wowote atakaopewa kuhusu uwepo wa Mungu which in turns inapelekea akatae na kupinga jibu lolote atakalopewa.

Anyaways, since we are God's creation, He has put his signature in our hearts and souls na mwisho wa yote hata upingeje, bado dhamiri ndani yako inakuambia kwamba God is there.

We have an opinion to deny and reject his existence but that wont change anything bse He surely exists.
 

Kwangu nilishasema nataka uthibitisho wa Mungu uliojikamilisha kwa logical consistency na usio na contradiction.

Unaweza kutoa uthibitisho huo wa Mungu kuwepo?
 
Mwenyezi Mungu ni muweza wa YOTE.

Je! Mabaya ni nje ya YOTE?.
 
Naona flat earthers mnaninukuu, lakini sioni mnachoandika kwa sababu nilishawaweka kwenye ignore list.

Nawakumbusha tu mpo katika ignore list kama nilivyowaambia.

Sina muda wa kujadiliana na flat earthers.
 

Perfect [emoji1488]
 
Naona flat earthers mnaninukuu, lakini sioni mnachoandika kwa sababu nilishawaweka kwenye ignore list.

Nawakumbusha tu mpo katika ignore list kama nilivyowaambia.

Sina muda wa kujadiliana na flat earthers.
Mi mwenyewe naona kuna umuhimu wa kuwa block watu wa dzain hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…