Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 566
Nakubali ila heri yangu ninanjaa lakini nikishibaga napanua mawazo, sijakutaja ila wazi umejishuku. Umefungwa kabisa mi sibishani na ukuta mzeeWewe jamaa umesema una njaa, ni proof tosha huwezi kuwa na mawazo yenye hoja, njaa huwa inavuruga unaweza kujikuta unaharisha badala ya kuongea.
Nikikwambia Comrade Kipepe wa SANI ni Mungu, na huwezi kujua hilo kwa sababu huna akili za kuelewa hilo, utakubali au utakataa?Narudia tena, nimejibu proofs zako, tena ya kwanza kwa kutumia sayansi. Huelewi maana ya entropy au umeitumia vibaya, unakubali? Swali la pili nimejibu kwa logic: Kama Mungu ni All-Capable, All-Knowing kwa nini unataka kumlimit? Yo want God to exist or behave in some form, that is not possible because he cannot be limited by anything.
Halafu uwe unakubali kuwa your knowledge is limited, hata knowledge yako ya sayansi unayotaka kuitumia kuprove kuwa Mungu hayupo, unabisha?
Kwa hiyo unamuamini Mungu usiyemuelewa?
Unajuaje kwamba usiyofahamu hayakuhusu kabla hujayafahamu?NDIO.
Nafahamu machache aliyonijalia kuyafahamu, mengine yasionihusu sifahamu walakini sio kwamba hawezi nifahamisha.
Links zimejibu wapi point by point points zote nilizoleta hapa?
Hujaweza kujibu contradiction hata moja ya suffering tu, hizo link hata kuzielewa unazielewa? Kitu gqni kitanipa confidence kwamba hizo links unazieleea kama hata hoja ya suffering tu umeshindwa kuipangua na unaishia kuipinga kwa deus ex machina?
Unaelewa hata deus ex machina ni nini?
Unaelewa hata contradiction ni nini?
Unaelewa sijauliza kuhusu Mungu kuingilia na nimeuliza kuhusu kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao kuteseka kunaweza kuwepo in the first place?
Unaelewa tofauti ya mawili hayo?
Unajuaje kwamba usiyofahamu hayakuhusu kabla hujayafahamu?
Utajuaje kwamba huyo Mungu yupo kweli, na si hadithi za kutungwa na watu kama wewe tu?
Nikikwambia Comrade Kipepe wa SANI ni Mungu, na huwezi kujua hilo kwa sababu huna akili za kuelewa hilo, utakubali au utakataa?
Unajuaje kwamba usiyofahamu hayakuhusu kabla hujayafahamu?
Utajuaje kwamba huyo Mungu yupo kweli, na si hadithi za kutungwa na watu kama wewe tu?
Unaelewa sijauliza kuhusu Mungu kuingilia na nimeuliza kuhusu kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao kuteseka kunaweza kuwepo in the first place?
Unaelewa tofauti ya mawili hayo?
Ndio uonyeshe kwamba ni hadithi kwa proof isiyokuwa na mashaka.
Huyu hata haelewi swali ni lipi. Hivyo hawezi kulijibu.
Namuuliza. Kwa nini Baba mwenye uwezo wote, unuzi wote na uoendo wote kajenga nyumba akaiwekea mitego ya mabomu ya nyuklia yanayoweza kuua wanawe?
Anajibu mabomu ya nyuklia ni sehemu ya maisha ya watoto na hakuhusiani na baba kuingilia.
Hata swali hajalielewa.
Hivyo, hawezi kulijibu.
Swali la kwanza hujalijibu, umethibitisha hujui.1. Kwa elimu yangu nafahamu pia kuna maarifa ya stashahada kadhaa wa kadha sifahamu lakini yapo. Nimesoma kiasi theolojia kujua kuna mengi nisiyo yajua lakini yapo; pia sio lazima kuyajua na kuyafahamu kama unajua yale yaliyo muhimu kuliko hayo menginge viz. Mungu yupo
2. Kwasababu naamini, pia ni vigumu kuthibitisha katika tafsiri za kimwili kwamba Mungu yupo.
Hawezi kufanya hivyo ila anaamini Mungu ni hadithi kama zingine tu.
Nitakwambia ni Mungu tu, na Mungu huwezi kumjua.Kwa sababu akili yako haina uwezo wa kumjua. Utakubali?
Proof hata ukiiona utaijua? Proof isiyo na mashaka unayoitaka ikoje?
Wewe unaweza kutoa proof isiyo mashaka kwamba Mungu yupo?
Kwa nini unakataa kutumia entropy kwenye non existent system?Anataka kuprove Mungu hayupo kwa kutumia imani na hadithi, sijamwona sehemu anatumia sayansi.
Sayansi "employs empirical evidence and observations". Amejaribu kutumia logic vibaya, ameongelea entropy in relation to non-existent system.