Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

Je! Unaujua umuhimu wa Nape kwenye Deal za Samia?
Unaujua umuhimu wa Nape kwenye kampeni na ushawishi ndani ya CCM wanapoingia kwenye harakati za ndani ya chama chao?
Kwako wewe Rais ni nani hata asiguswe na kupoteza jimbo kwa chama chake ambacho pia ni mwenyekiti wake.

Humu ndani tunashea na baadhi ya wapuuzi msiojua kinachoendelea ila mnaona raha k7chezea simu zenu.
[emoji448] hatunywi sumu , hatujinyongi CCM mbele kwa mble
 
Je! Unaujua umuhimu wa Nape kwenye Deal za Samia?
Unaujua umuhimu wa Nape kwenye kampeni na ushawishi ndani ya CCM wanapoingia kwenye harakati za ndani ya chama chao?
Kwako wewe Rais ni nani hata asiguswe na kupoteza jimbo kwa chama chake ambacho pia ni mwenyekiti wake.

Humu ndani tunashea na baadhi ya wapuuzi msiojua kinachoendelea ila mnaona raha k7chezea simu zenu.
Nape ni chawa tu kama kina mwijaku na takataka nyingine
 
Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA.

Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni jambo ambalo linaonekana kama pigo kwa CCM kiasi cha kuomba "mma" kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Taarifa kutoka "ndani" zinadai kwamba ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan kuja hapa Kusini kwa maana ya Lindi na Ntwara imelazimishwa kuja kumuokoa Waziri Nape anayeonekana wazi kuzama kisiasa.

Membe amejiunga na Chadema na tayari anatarajia kufanya ziara Jimbo zima la Mtama kila Kijiji kusalimia wazee wa Kimwera walioudhika na uongozi wa Nape uliohamia Dar es salaam badala ya Mtama.

"Wanaohamua nani awaongoze na kwa wakati Gani ni sisi wenyewe wana Ntama, kwa Sasa tumeamua tunamtaka ntoto wetu Membe atuongoze, Nape arudi kwao", amesema Mzee Sijaona wa Chiponda Senta.

My take: Nape tafuta Chaka lingine Mtama si muafaka tena kwako. CCM tafuteni mpinzani sahihi kwa Stephen Membe otherwise jimbo linakwenda kwa Chadema.
Huko Kusini CUF ilikuwa inazoa Majimbo mengi sana Kwa hiyo hakuna jipya.

Ila tusidanganyane Sina uhakika kama Nape Huwa anatumia mda mwingi ziarani huko Mtama kama Tulia anavyofanya.
 
ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan kuja hapa Kusini kwa maana ya Lindi na Ntwara imelazimishwa kuja kumuokoa Waziri Nape anayeonekana wazi kuzama kisiasa.
screenshot_20230514-154115-2-jpg.2623924

[Kula tano mgoni][✓]
 
Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA.

Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni jambo ambalo linaonekana kama pigo kwa CCM kiasi cha kuomba "mma" kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Taarifa kutoka "ndani" zinadai kwamba ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan kuja hapa Kusini kwa maana ya Lindi na Ntwara imelazimishwa kuja kumuokoa Waziri Nape anayeonekana wazi kuzama kisiasa.

Membe amejiunga na Chadema na tayari anatarajia kufanya ziara Jimbo zima la Mtama kila Kijiji kusalimia wazee wa Kimwera walioudhika na uongozi wa Nape uliohamia Dar es salaam badala ya Mtama.

"Wanaohamua nani awaongoze na kwa wakati Gani ni sisi wenyewe wana Ntama, kwa Sasa tumeamua tunamtaka ntoto wetu Membe atuongoze, Nape arudi kwao", amesema Mzee Sijaona wa Chiponda Senta.

My take: Nape tafuta Chaka lingine Mtama si muafaka tena kwako. CCM tafuteni mpinzani sahihi kwa Stephen Membe otherwise jimbo linakwenda kwa Chadema.
Kama ameenda Chadema, ameishapotea. Labda angebaki CCM.
 
CHADEMA HATUTASHIRIKI UCHAGUZI BILA TUME HURU NA KATIBA MPYA
 
Basi kesho wamama wa chichiem watalala chini nape apite anawakanyaga juu ya makalio kuonesha anakubalika sana
 
Back
Top Bottom