Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

[emoji448] hatunywi sumu , hatujinyongi CCM mbele kwa mble
 
Nape ni chawa tu kama kina mwijaku na takataka nyingine
 
Huko Kusini CUF ilikuwa inazoa Majimbo mengi sana Kwa hiyo hakuna jipya.

Ila tusidanganyane Sina uhakika kama Nape Huwa anatumia mda mwingi ziarani huko Mtama kama Tulia anavyofanya.
 
Kama ameenda Chadema, ameishapotea. Labda angebaki CCM.
 
CHADEMA HATUTASHIRIKI UCHAGUZI BILA TUME HURU NA KATIBA MPYA
 
Basi kesho wamama wa chichiem watalala chini nape apite anawakanyaga juu ya makalio kuonesha anakubalika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…