Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aanza kutupa madongo kwa upinzani, asema watakamata dola tena, kila mahali wamefamya maendeleo. Ataka dunia ijue chama chao ni chama cha amani, ataendeleza 4R za MARIDHIANO
 
Wajumbe wa chadema fanyeni Mambo tuletee vyuma , Lissu na Heche, uchaguzi mkuu 2025 ,ngoma imeisha mapema sana.
 
Aisee... Sasa hili kopo lita mshauri nini rais jamani.?

Ili ujue mwelekeo wa hii nchi ona wanaoteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi walivyo

Lisu awe mwenyekiti tu aanze kukinukisha kwakweli
 
Kazi kweli kweli...
 
Aisee... Sasa hili kopo lita mshauri nini rais jamani.?

Ili ujue mwelekeo wa hii nchi ona wanaoteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi walivyo

Lisu awe mwenyekiti tu aanze kukinukisha kwakweli
Hata wewe Nzi wa kijani Leo hii umeichoka Ccm ?

Kweli siasa ina vitimbi
 
Wajumbe wa chadema fanyeni Mambo tuletee vyuma , Lissu na Heche, uchaguzi mkuu 2025 ,ngoma imeisha mapema sana.
Actually, hivyo vyuma ndio vinatosha, wajumbe wafanye vema kuleta vyuma hivyo. CCM wamejipanga tayari kwa battle ya uchaguzi mkuu. CHADEMA walete vyuma vya uzani wa juu kwa battle hiyo ya uchaguzi
 
NDULA LA KIJESHI LIMEINGIA KAZI IPO ANAKIJUA CHAMA, ANAJUA KUJENGA HOJA NA KUZITETEA, ANAUMRI MKUBWA LAKINI DAMU BADO INACHEMKA, STELING WA MAGOLI YA MKONO, UTAMSHINDAJE?NI MWALIMU WA KINA NAPE,MZEE WA FORCE KINGI
 
Hizo kura wanapiga za nn wakati hamna ushindani?
Ushindani Siyo watu wawili kuwania nafasi moja. Ushindani Ni kutumia maneno mawili ili neno mojawapo liibuke kidedea. Neno "Yes" au "No"; "Ndiyo" au "Hapana". Hayo maneno yamesimama kwa niaba ya watu wawili. Hakika hii Ni "Demo-ghasia" 🤔🤔👐👐
 
Hata wewe Nzi wa kijani Leo hii umeichoka Ccm ?

Kweli siasa ina vitimbi
Mimi sijawahi kuwa nzi wa kijani...

Bali nilikuwa mfuasi wa misimamo ya JPM.
.
Na siku zote nilikuwa naponda uhuni wa chadema chini ya Mbowe, na leo hii ule uhuni tuliokuwa tunapinga umejidhihiriaha tena kutoka kwa watu wenyewe wa chadema.

Kwa sababu hiyo wewe ukaona mimi ni mfuasi wa ccm.
 
Actually, hivyo vyuma ndio vinatosha, wajumbe wafanye vema kuleta vyuma hivyo. CCM wamejipanga tayari kwa battle ya uchaguzi mkuu. CHADEMA walete vyuma vya uzani wa juu kwa battle hiyo ya uchaguzi
Upo sahii, mpaka sasa sioni group la watu makini wa kumvusha Mgombea wa ccm, siasa za majukwaani zinahitaji mvuto pia , na watu wa kujibu hoja zilizo mbele ya ccm wala siwaoni kabisa.

Uchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi sana kwa wapinzani , wakimaliza chaguzi zao salama ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…