Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapumbavu....
Kodi Za Watanzania Masikini zinaliwa....
Kmmkeee
 
Mwenyekiti wa CCM amemtangaza Mhe. Pinda ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu kuwa mrithi wa Kinana. Wajumbe na wanachama sambamba na wananchi wameonekana kutopokea positive pendekezo hili au wameshtuka kwa kilichotokea. Je, walimtegemea nani?

Tukumbuke cheo hiki hakuna kugombania bali linapelekwa jina moja ambalo litapata kura za ndio na hawana. Lakini pia historia inaonyesha kila pendekezo la Mwenyekiti huwa linapita kwa asilimia 90+ hivyo ni wazi Pinda ndiye makamu mwenyekiti ajaye wa CCM Bara.
 
Sio tishio kwa nafasi ya mwenyekiti, hana kambi hajui dili, nimkulima wa zabibu, hana malengo makubwa ya kisiasa hana watoto tishio kwenye siasa za Tanzania, imekua surprise kwa kila mdau.
 
Attachments

  • GeqYF78XAAAFaUf.jpg
    GeqYF78XAAAFaUf.jpg
    81.2 KB · Views: 1
Dah kwa nini hiki cheo wanapewa wazee tu?
 
Sasa pinda anaweza mikakati ya fitna km kinana? Sidhani km wahafidhina watamkubali na hanaga mvuto wa amsha amsha
 
Sio tishio kwa nafasi ya mwenyekiti, hana kambi hajui dili, nimkulima wa zabibu, hana malengo makubwa ya kisiasa hana watoto tishio kwenye siasa za Tanzania, imekua surprise kwa kila mdau.
Hupenda kulia mara zote... Yaani kimsingi ana huruma sana na ni masikini
 
Back
Top Bottom