Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Pre GE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa CCM amemtangaza Mhe. Pinda ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu kuwa mrithi wa Kinana. Wajumbe na wanachama sambamba na wananchi wameonekana kutopokea positive pendekezo hili au wameshtuka kwa kilichotokea. Je, walimtegemea nani?

Tukumbuke cheo hiki hakuna kugombania bali linapelekwa jina moja ambalo litapata kura za ndio na hawana. Lakini pia historia inaonyesha kila pendekezo la Mwenyekiti huwa linapita kwa asilimia 90+ hivyo ni wazi Pinda ndiye makamu mwenyekiti ajaye wa CCM Bara.
Huwa mnajisikiaje kujivunjia heshima
 
Hivi vijana hamna hadi wanateuliwa wazee wasiojiweza
Wewe ni mjinga na huijui CCM, usidhani CCM ni kama CHADEMA!
Nyie ndo mnafikiri Makonda anaweza kuwa Makamu Mwenyekiti!! Tambua kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ni kama ndiye Mwenyekiti wa vikao vingi vya CCM kwani Mwenyekiti/Rais ana majukumu mengi sana!
 
Back
Top Bottom