Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Duh vijana wenzangu tutaula lini?
Fanyeni vikao kwa nini hadi wazazi wenu hawataki kuwapa chochote hata kama wana biashara iwe ndogo au kubwa kwa nini hawawaamini? Mshike muendeshe

Mkae muongee msiishie tu kukaa kuongelea nyimbo mpya za Diamond au ugomvi wa Diamond na Harmonize au movie mpya ya bongo movie ya karibuni au Mayele alivyo kiboko kwa simba
 
Makongoro na ule msemo wake kenye kampeni ....... YUPO.
 
Si ajabu mzawa kurudi nyumbani baada ya kutoonekana nyumbani muda mrefu wakati si rafiki
 
Kuna mzee mwingine anaitwa Mkuchika. Naye hazeeki
 
Ndo naona point yako Leo kwenye hiki kijiwe Cha max
Mungu akubariki
 
Ni mkakati maalum wa 2025, kamati kuu ndio kila kitu katika chama, ni lazima uwe na colum ya kutosha ya watu ambao wapo royal kwako, hawezi kuwaamini kina Kassim.

Natumai ulimaanisha neno 'loyal'.

-Kaveli-
 
Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
Teh teh teh 😂😂 acha kutafuta ugomvi wewe jamaa.
 
Old and young can make things move with caution. We do not expect much from Mzee wetu Wasira he should retire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…