Stephen Wasira: CCM tunahubiri amani kwa sababu ndani yake kuna haki

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa akihitimisha ziara yake katika Mkoa wa Tabora, jana, Wasira amesema kuna watu wanahoji CCM inazungumzia sana amani lakini haizungumzii haki, huku akibainisha kuwa wanaotoa madai hayo ni watu wazito.
WhatsApp Image 2025-04-18 at 11.22.01_fb277139.jpg

WhatsApp Image 2025-04-18 at 11.21.57_b1d8fdfe.jpg
“Sasa nikasema ngoja niende (Tabora) kwenye kitovu ambapo Mwalimu Julius Nyerere alitoa machozi kwa ajili ya amani, tuwasaidie kuelewa kwamba ukizungumza amani ndani ya amani kuna haki kwa sababu amani ikikosekana wenye uwezo mdogo wanaumia.

“Amani ikikosekana wanawake na watoto wao katika nchi jirani wanakilimbilia Tabora...ukilinda amani unalinda haki tena unalinda haki ya wanyonge, unalinda haki ya wasiokuwa na sauti.

“Unazungumza haki ya mtu anasema anataka kuwa Rais halafu anaambiwa eti tukibadili Katiba anakuwa Rais na haki inayosemwa ni mtu mmoja badala ya kuzungumza haki ya walio wengi. Tunauliza huyo anayesema hatuzungumzi haki tunazungumza amani sijui anadhani ndani ya amani hakuna haki.” Amesema Wasira.
WhatsApp Image 2025-04-18 at 11.22.03_85d116b4.jpg
Ameongeza kuwa kote ambako amani imekosekana haki ya wengi imepotea hususan nchi za jirani wananchi wake walikimbilia Tanzania, hivyo alihoji iwapo ikitokea amani iliyopo kukumbwa na dhoruba Watanzania watakimbilia wapi

“Wenyewe wamekimbia kwao na ninyi mnataka kukimbilia kwao mnapishana kama sisimizi. Hivyo tunasisitiza haki lakini haki iko ndani ya amani. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka vyombo na inasema kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kazi ya Mahakama ni kutafsiri sheria na kuweka haki na haki hiyo ni haki ya kibinadamu, hatuzungumzi haki ya Mungu.

"Tumeweka mahakama kwamba ndio inayolinda haki za watu, sasa kama wewe unadhani hupewi haki uende kwenye mahakama ukadai hiyo haki yako usikilizwe ili ulete amani na upate haki yako kwa njia ya amani

“Unatuambia utakinukisha, unatuambia utaichoma Tanzania nani anakupa leseni ya kuichoma Tanzania? Kwa idhini ya nani? Ndio maana tunawaambia wale wanaotaka kutumia nguvu tutawaambia hiyo sio njia halali unataka kuvunja haki ya wanyonge wa Watanzania

“Unataka kutengeneza matatizo yatakayofanya akinamama wakimbie kliniki na kliniki tulizowajengea zibomolewe kwa mabomu, hivyo hatuwezi kukubali hilo. Nawashangaa Watanzania ambao hawajaelewa na wakiwasikiliza wanawapigia makofi lakini hawajui gharama zake,” amesema Wasira.

Hivyo amewaambia wananchi kuwa ameamua kuwachochea Watanzania kupitia Tabora ambako ni chimbuko la amani iliyowekwa nchini kwa machozi ya Julius Nyerere kwamba amani hiyo lazima itadumu kwa gharama yoyote.

“Hatuwezi kuruhusu watu wachache au kikundi kinachotumwa na vibaraka na Wakoloni mambo leo kuja kuvuruga amani ya nchi yetu, hatutafanya hivyo. Narudia kuna amani na ndani ya amani kuna haki.
 
Kungekuwa na haki hata yeye mwenyewe asingekuwepo kwenye majukwaa ya CCM sahizi kwa kigezo cha umri tu.
 
Naona anazunguka tu, amani ni tunda la haki. Zama za kujificha kwenye amani huku hamtendi haki zilishapitwa.
Huyo mzee sasa anajiropokea maneno hovyo tu, bila hata ya kutafakari yanalenga kitu gani hasa.
 
MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa akihitimisha ziara yake katika Mkoa wa Tabora, jana, Wasira amesema kuna watu wanahoji CCM inazungumzia sana amani lakini haizungumzii haki, huku akibainisha kuwa wanaotoa madai hayo ni watu wazito.
“Sasa nikasema ngoja niende (Tabora) kwenye kitovu ambapo Mwalimu Julius Nyerere alitoa machozi kwa ajili ya amani, tuwasaidie kuelewa kwamba ukizungumza amani ndani ya amani kuna haki kwa sababu amani ikikosekana wenye uwezo mdogo wanaumia.

“Amani ikikosekana wanawake na watoto wao katika nchi jirani wanakilimbilia Tabora...ukilinda amani unalinda haki tena unalinda haki ya wanyonge, unalinda haki ya wasiokuwa na sauti.

“Unazungumza haki ya mtu anasema anataka kuwa Rais halafu anaambiwa eti tukibadili Katiba anakuwa Rais na haki inayosemwa ni mtu mmoja badala ya kuzungumza haki ya walio wengi. Tunauliza huyo anayesema hatuzungumzi haki tunazungumza amani sijui anadhani ndani ya amani hakuna haki.” Amesema Wasira.

Ameongeza kuwa kote ambako amani imekosekana haki ya wengi imepotea hususan nchi za jirani wananchi wake walikimbilia Tanzania, hivyo alihoji iwapo ikitokea amani iliyopo kukumbwa na dhoruba Watanzania watakimbilia wapi

“Wenyewe wamekimbia kwao na ninyi mnataka kukimbilia kwao mnapishana kama sisimizi. Hivyo tunasisitiza haki lakini haki iko ndani ya amani. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka vyombo na inasema kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kazi ya Mahakama ni kutafsiri sheria na kuweka haki na haki hiyo ni haki ya kibinadamu, hatuzungumzi haki ya Mungu.

"Tumeweka mahakama kwamba ndio inayolinda haki za watu, sasa kama wewe unadhani hupewi haki uende kwenye mahakama ukadai hiyo haki yako usikilizwe ili ulete amani na upate haki yako kwa njia ya amani

“Unatuambia utakinukisha, unatuambia utaichoma Tanzania nani anakupa leseni ya kuichoma Tanzania? Kwa idhini ya nani? Ndio maana tunawaambia wale wanaotaka kutumia nguvu tutawaambia hiyo sio njia halali unataka kuvunja haki ya wanyonge wa Watanzania

“Unataka kutengeneza matatizo yatakayofanya akinamama wakimbie kliniki na kliniki tulizowajengea zibomolewe kwa mabomu, hivyo hatuwezi kukubali hilo. Nawashangaa Watanzania ambao hawajaelewa na wakiwasikiliza wanawapigia makofi lakini hawajui gharama zake,” amesema Wasira.

Hivyo amewaambia wananchi kuwa ameamua kuwachochea Watanzania kupitia Tabora ambako ni chimbuko la amani iliyowekwa nchini kwa machozi ya Julius Nyerere kwamba amani hiyo lazima itadumu kwa gharama yoyote.

“Hatuwezi kuruhusu watu wachache au kikundi kinachotumwa na vibaraka na Wakoloni mambo leo kuja kuvuruga amani ya nchi yetu, hatutafanya hivyo. Narudia kuna amani na ndani ya amani kuna haki.
Kmmk....
 
Tangu lini fossil a.k.a ancestral remains akaongea cha maana?
 
Yeye mwenyewe kuwepo kwenye hiyo nafasi sio  Haki. Uchu wa madaraka hauna haki. Angekataa hiyo nafasi akapumzka angeheshimika zaidi.
 
Comrade Stephen Wasira ananyoosha maneno bila kupindisha aise dah!

well done ndugu Makamu mwenyekiti wa CCM taifa 👊💪
 
Uwongoooooo...!!!
 
Huyu dingi anasema madudu gani ? Amani ? Hebu cheki uovu kwa orodha kidogo tu, Alphonce Mawazo aliuwawa, Ben Sanane, aliuwawa, Ali Kibao aliuwawa, Akwilina aliuwawa, Lissu alipigwa risasi 38, Soka aliuwawa, mgombea udiwani mwaka jana, toka Manyonyi aliuwawa na askari magereza nyumbani kwake, nk nk, nk Je wote hao walikosea nini hadi mkamwaga damu zao na kuwakatisha uhai ?
 
MAKAMU Menyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema ni vema wananchi wakafahamu kwamba katika amani ndani yake kuna haki, hivyo Chama kitaendelea kuihubiri kuhakikisha inapatikana haki.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mjini Dodoma alipokuwa akihitimisha ziara yake katika Mkoa wa Tabora, jana, Wasira amesema kuna watu wanahoji CCM inazungumzia sana amani lakini haizungumzii haki, huku akibainisha kuwa wanaotoa madai hayo ni watu wazito.
“Sasa nikasema ngoja niende (Tabora) kwenye kitovu ambapo Mwalimu Julius Nyerere alitoa machozi kwa ajili ya amani, tuwasaidie kuelewa kwamba ukizungumza amani ndani ya amani kuna haki kwa sababu amani ikikosekana wenye uwezo mdogo wanaumia.

“Amani ikikosekana wanawake na watoto wao katika nchi jirani wanakilimbilia Tabora...ukilinda amani unalinda haki tena unalinda haki ya wanyonge, unalinda haki ya wasiokuwa na sauti.

“Unazungumza haki ya mtu anasema anataka kuwa Rais halafu anaambiwa eti tukibadili Katiba anakuwa Rais na haki inayosemwa ni mtu mmoja badala ya kuzungumza haki ya walio wengi. Tunauliza huyo anayesema hatuzungumzi haki tunazungumza amani sijui anadhani ndani ya amani hakuna haki.” Amesema Wasira.

Ameongeza kuwa kote ambako amani imekosekana haki ya wengi imepotea hususan nchi za jirani wananchi wake walikimbilia Tanzania, hivyo alihoji iwapo ikitokea amani iliyopo kukumbwa na dhoruba Watanzania watakimbilia wapi

“Wenyewe wamekimbia kwao na ninyi mnataka kukimbilia kwao mnapishana kama sisimizi. Hivyo tunasisitiza haki lakini haki iko ndani ya amani. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweka vyombo na inasema kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kazi ya Mahakama ni kutafsiri sheria na kuweka haki na haki hiyo ni haki ya kibinadamu, hatuzungumzi haki ya Mungu.

"Tumeweka mahakama kwamba ndio inayolinda haki za watu, sasa kama wewe unadhani hupewi haki uende kwenye mahakama ukadai hiyo haki yako usikilizwe ili ulete amani na upate haki yako kwa njia ya amani

“Unatuambia utakinukisha, unatuambia utaichoma Tanzania nani anakupa leseni ya kuichoma Tanzania? Kwa idhini ya nani? Ndio maana tunawaambia wale wanaotaka kutumia nguvu tutawaambia hiyo sio njia halali unataka kuvunja haki ya wanyonge wa Watanzania

“Unataka kutengeneza matatizo yatakayofanya akinamama wakimbie kliniki na kliniki tulizowajengea zibomolewe kwa mabomu, hivyo hatuwezi kukubali hilo. Nawashangaa Watanzania ambao hawajaelewa na wakiwasikiliza wanawapigia makofi lakini hawajui gharama zake,” amesema Wasira.

Hivyo amewaambia wananchi kuwa ameamua kuwachochea Watanzania kupitia Tabora ambako ni chimbuko la amani iliyowekwa nchini kwa machozi ya Julius Nyerere kwamba amani hiyo lazima itadumu kwa gharama yoyote.

“Hatuwezi kuruhusu watu wachache au kikundi kinachotumwa na vibaraka na Wakoloni mambo leo kuja kuvuruga amani ya nchi yetu, hatutafanya hivyo. Narudia kuna amani na ndani ya amani kuna haki.
Vizee vingine bora vingepumzika kuliko kuongea upupu kama huo.
 
Ameenda kinyumenyume. Haki ndio inazaa amani. Penye haki pana amani na sio kwamba amani inaleta haki.
 
Huyu anapaswa kukamatwa na kurejeshwa hifadhini Gombe, ndio sehemu yake!
 
Duu tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe, kwavile ni jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Silence surrenders public responsibilities , (jamii iliyo nyamaza ni sawa na kusalimu amri majukumu ya kijamii)

Jamii iliyo nyamaza je in amani? Kwa maana unaweza ukanyamaza kwa kupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa je jamii itaendelea kunyamaza mpaka lini?

Mimi nina andiko langu kwenye kitabu cha ujasiriamali linaitwa 'silent society '
Huwezi kufanya biashara kwenye jamii iliyo nyamaza

Hitimisho jamii iliyo nyamaza siyo kipimo cha amani, vile vile kunyamazishwa kwa Lissu ni kuchochea hata waliokuwa hawajui lolote ama waliokuwa kwenye usingizi wa pono waamke kweli CCM uwezo wa kufikiri hakuna duu, kikikiki
 
Back
Top Bottom