Waliobadilisha hilo jina ni wajinga wakubwa.Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni Mkuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Mambo ya kijima kabisa, political boot lickingStesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni Mkuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Nadhani AbdulMwanzoni stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, ilikuwa inajulikana kwa jina Gani?
Nachefukwa everewea n Samia samia eishMadam hichi ni nini kipenzi?
Achana na hiyo nchi madam wangu 😁😁😁Nachefukwa everewea n Samia samia eish
Yaani natamani kwenda kujilipua Bungeni😏Achana na hiyo nchi madam wangu 😁😁😁
yeye pekeyake ndio mwongoza mwendo nchi hii binti yanguNachefukwa everewea n Samia samia eish
Bado hujasema.....Nachefukwa everewea n Samia samia eish
Akwendre..mikopo yenyewe ya sSamia ni kizungumkuti..*****yeye pekeyake ndio mwongoza mwendo nchi hii binti yangu
Kheee..hadi IVF?..🖕
Astakafirulaahi umeongea kw uzito sana madam wangu😁😁Yaani natamani kwenda kujilipua Bungeni😏
Ila kiukweli inakeraKheee..hadi IVF?..🖕
Bro unazidi kupiga mshono😁
Yaani honestly najiona nna damu ya Kenya ..! Mbwa sana hawaAstakafirulaahi umeongea kw uzito sana madam wangu😁😁