Jambo Kubwa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 225
- 395
Majina mengi ya Nyerere, ni baada ya yeye kuondoka, hizo sehemu ulizotaja kumepewa majina yeye Hayupo.Airport, barabara, bwawa, daraja, ukumbi, uwanja wa michezo, chuo cha siasa, shule, sgr, stendi nk nk vyote vina jina la nyerere.
Au ulikua hujui?
Yaani lile daraja la kigamboni lilikuwa linaitwa kigamoni bridge au nssf bridge lakini ghafla tu likabadilishwa eti nyerere, acheni chuki wote nj i viongozi
Wakati wa uongozi wake angekua na akili za kutukuzana na upambe kama hivi nchi hii ingeitwa Jamhuri ya Nyerere