SAMIA inavutia tuseme tuh ukweli
Mama Mjenga Misikiti Ufukweni - Samia!Hapo mwanzo ilikuwa inaitwaje??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mimi naudhika sana ..tena mno aise..hili li nchi😖Ila kiukweli inakera
Kenya ni mavini tu ,pia ujue🤔Yaani honestly najiona nna damu ya Kenya ..! Mbwa sana hawa
swala la mikopo usijali utafikiwa ondoa shakaAkwendre..mikopo yenyewe ya sSamia ni kizungumkuti..*****
Ni ujinga uliokithiri kuna majina mengi yakuandikwaMimi naudhika sana ..tena mno aise..hili li nchi😖
Bro nenda burundi tuachie Nchi yetu, ccm yetu na samia wetu 😂😂Mimi naudhika sana ..tena mno aise..hili li nchi😖
Kaka mkubwa sikujua hii kazi yako mpya😁😁swala la mikopo usijali utafikiwa ondoa shaka
Kweli Adui wa Mwanamke ni Mwanamke mwenzie.Nachefukwa everewea n Samia samia eish
Mnajenga misikiti hadi ufukweni 😁Mama Mjenga Misikiti Ufukweni - Samia!
siku zote niko bega kwa bega na wanyonge kama huyu nimegundua tatizo lake liko wapi ndio sababu nikamuhakikishia hilo halina shida aweke mambo yake kwa usahihi atafikiwa hilo ndio lengo la chama mekuKaka mkubwa sikujua hii kazi yako mpya😁😁
Burundi 99% naona walamba lips..njigo!😁Bro nenda burundi tuachie Nchi yetu, ccm yetu na samia wetu 😂😂
Sasa si Wanawake wamewezeshwa Sasa kila Sehemu ni Mwanamke huku Mwanamke kule Mwanamke hata pale napo ni Mwanamke Sasa haya Si mafanikio!! Sasa Wanawake tena Wapambanaji Mnachukia nini!!Yaani honestly najiona nna damu ya Kenya ..! Mbwa sana hawa