Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Mjinga mwenywe😖Kwa hizi comment za wadau humu nashauri TRC wabadilishe jina waite Abdul Sgr Station Dodoma ili mfe kabisa wajinga nyie,,
Mjinga mwenywe😖Kwa hizi comment za wadau humu nashauri TRC wabadilishe jina waite Abdul Sgr Station Dodoma ili mfe kabisa wajinga nyie,,
Veting system tuliyonayo ni ya hovyo sana Hawa wote ni wateule wake wanafanya mambo yakipumbavu sana ni vile basi tu
POsts zako huifanya siku yangu
Samia kadoda kama nyanya mbovu hana lake la maana alilofanya tofauti kabisa na JPMStesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Kwan SGR kajenga Samia!?Watu wananishangaza sana kwakweli yani jina mtu anatokwa na povu kiasi hicho na mbna imekaa poa sana na imependeza kwakweli na wew ukitaka jenga yako uite jina lako acheni chuki zisizokua za msingi
Utasemaje imebadilishwa wakati hujaweka zamani ilikuwa inaitwaje?Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Hamia huko Kenya au Uarabuni ambako huwa wanajilipua.Yaani honestly najiona nna damu ya Kenya ..! Mbwa sana hawa
Utakuwa hukuwa na taarifa sahihi! Vituo vyote vya SGR nilipewa maji ya marais: Dar ni Magufuli, Moro ni JK, Dodoma Samia, Tabora ni Mzee Ruksa, Shy ni A. A. Karume, Mwanza ni Nyerere na Kigoma ni Mkapa!Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005