Sawa, Rudia kusoma walichoandika TRC.Utakuwa hukuwa na taarifa sahihi! Vituo vyote vya SGR nilipewa maji ya marais: Dar ni Magufuli, Moro ni JK, Dodoma Samia, Tabora ni Mzee Ruksa, Shy ni A. A. Karume, Mwanza ni Nyerere na Kigoma ni Mkapa!
Nipishe hebuHamia huko Kenya au Uarabuni ambako huwa wanajilipua.
Yaani imetoka rohoni mixer image wineKha!😃
💋Nakazia
Si umesema unataka kujilipua nenda huko usituharibie nchi yetu wewe Gaidi wa kike.Nipishe hebu
Mimi ukinipasua moyo siwapendi hao machawa aise.why nilizaliwa ke??? Majitu ya aina hii unayakaba roba usikuZamani walikuwa wanaitwa "wapambe wa raisi", leo mnawaita "machawa wa mama" WTF!!
Full stopWamebadilisha Na hatuna cha kuwafanya
Siendi popote mniueSi umesema unataka kujilipua nenda huko usituharibie nchi yetu wewe Gaidi wa kike.
Nani akuue!! Utajiua wewe mwenyewe kwa kujilipua kama ulivyosema!Siendi popote mniue
😂😂😂😂😂 hivi tumebakisha niniStesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Tutawachoma moto machawa wote shenzi kbsNani akuue!! Utajiua wewe mwenyewe kwa kujilipua kama ulivyosema!
Utawachoma na nani wakati utakuwa umeshajilipua Bungeni!!Tutawachoma moto machawa wote shenzi kbs
Wait n cUtawachoma na nani wakati utakuwa umeshajilipua Bungeni!!
Watu wanatafuta ulaji ili wasifatiliweWaliobadilisha hilo jina ni wajinga wakubwa.
Kuna viongozi wapumbavu sana yaani imagine wameumiza kichwa jinsi ya kupata hela za wizi kupitia kumsifia Suluhu hapo tayari wameshakula hela ya kuweka hayo maandishi ya 3D tena hela ndefu tu.. ukiwaona kama wana akili timamu kumbe vichwa vyao ni mabomu, Pumbavu wote.Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005