GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,208
- 7,049
Anapata thawabuYap, ndiyo Mama Samia huyo.....yaani akija Mwarab yeyote na kumpa offer ya kujenga misikiti anakubali bila hata kufikiri wakati wananchi tunataka shule za maana, hospitali na barabara za maana.
Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Tumia akili, usiongozwe na mhemko plus papara hasa ukiwa mwanaume!Hii nchi Samia anatukuzwa na kuabudiwa kuliko MUNGU Baba
Waliobadilisha hilo jina ni wajinga wakubwa.
hahah iyo inaitwa ubaya ubwelaDon't woriii... Akimaliza muda wake tutabadili na hatokufa na chakutufanya😁😋
Namba tutazisomaFull stop
Mpaka anafariki, ni mtoto gani wa Nyerere alimpa madaraka au mkokoteni gani aliupa jina lake, au chochote kile alikipa jina lake, alikuwa mwalimu akafariki na ualimu wake huku wananchi wengi wakiwa madaktari kumzidi yeye.Wagalatia mnaumia sana, ila ingekuwa ni nyerere mngefurahia, eti?
Siku wenyewe wakistuka na mwisho wenu umefika na mtajuta sana
Khee! Mashangingi nao wanajua kutukana! Naogopa kukurudishia kwani huenda kuna siku nitakwama unaweza kunikwamua kwenye pochimanyoa lako japo limechacha.Nyokolilo
Limebadilishwa jina kutoka samia stesheni kwenda la sasa.Stesheni za SGR zapewa majina ya marais, Dar yaitwa Magufuli
Alhamisi, Agosti 01, 2024
Bandiko lako limejaa:
chuki
tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya
Vilevile unaonekana una:
husuda
mtazamo wa ubaya juu ya mtu na mali yake; tabia ya mtu kutopendezwa au kutofurahia mafanikio ya mwingine; jicho baya
Sasa hii nchi ina baba wa taifa wangapi? Tuanzie hapo..Wagalatia mnaumia sana, ila ingekuwa ni nyerere mngefurahia, eti?
Siku wenyewe wakistuka na mwisho wenu umefika na mtajuta sana
Baba wa taifa ndio nani? Kama mnadhani ni huyo mgalatia wenu na sie tunasema kwanini asiwe karume?Sasa hii nchi ina baba wa taifa wangapi? Tuanzie hapo..
hata nchi iitwe Dr Samia Suluhu Republic of TanzagizaIla kiukweli inakera
SubanaAllah. Dada ake Hamza usifanye hivyo. Vumilia tu, mitano tena si mingi.Yaani natamani kwenda kujilipua Bungeni😏
Tope zimewajaa kichwani, familia yake yote inaishi kifahari kwa kupata kila watakacho bila mkwamo wowote,Mpaka anafariki, ni mtoto gani wa Nyerere alimpa madaraka au mkokoteni gani aliupa jina lake, au chochote kile alikipa jina lake, alikuwa mwalimu akafariki na ualimu wake huku wananchi wengi wakiwa madaktari kumzidi yeye.
Ukiwa uchi ndio akili zinachaji double,Ume reason kama upo uchi.