Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Lakini bado anabaki mtupu Mkuu?Wanamhangaikia sana huyu asiyeuzika, wanamvisha kila zuri lkn wapi
Lakini bado anabaki mtupu Mkuu?Wanamhangaikia sana huyu asiyeuzika, wanamvisha kila zuri lkn wapi
Chukua form kupitia Chadema na wewe uwe raisNachefukwa everewea n Samia samia eish
Dony worry, siku nikiwa Raisi nitabadilisha majina yote haya. Sijui Mwinyi that, Mkapa that, Kikwete this, Magufuli that, Samia this, Kijazi that - yote nitafutilia mbali. Majina yanayokubalika ni Nyerere na Karume tu, labda na viongozi baadhi wa nje. Lakini huu ujinga wa kutukuza watu kwa kitu ambacho ilikuwa ni wajibu wao kufanya nitafutilia mbali vyote!Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
Nimekosa mimi, nimekosa sana mkuu.Lakini bado anabaki mtupu Mkuu?
Mama WA Taifa SSHBaba wa taifa ndio nani? Kama mnadhani ni huyo mgalatia wenu na sie tunasema kwanini asiwe karume?
Hiyo ni dhana tu ya kuendelea kuwatawala akili zenu, yaani kama kuna baba lazima awepo na mama, je ni nani?
Hii tu ndio shida mkuu, ila ingekuwa maria wala usingesikia keleleMama WA Taifa SSH
Ukiwa uchi akili unawaza kama ya kondoo au nyumbuUkiwa uchi ndio akili zinachaji double,
Hivi kwanini asiwe mkapa au magu wakati na wenyewe wana vituo?
Kama za kusoma hazipo basi hata za kuzaliwa?
Mkapa, Mikwete,Magu walichaguliwa, huyu hatukumchagua kwa hiyo asijikwezeHuUkiwa uchi ndio akili zinachaji double,
Hivi kwanini asiwe mkapa au magu wakati na wenyewe wana vituo?
Kama za kusoma hazipo basi hata za kuzaliwa?
Kwani baada ya ule ubatizo ilikuwajeStesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Mwaka huu mtamchaguaMkapa, Mikwete,Magu walichaguliwa, huyu hatukumchagua kwa hiyo asijikweze
Airport, barabara, bwawa, daraja, ukumbi, uwanja wa michezo, chuo cha siasa, shule, sgr, stendi nk nk vyote vina jina la nyerere.Nyerere angekua na akili hizi, hii nchi ingeitwa jina lake
Tanzania ina vijana wa hovyo sana. Kazi yao udaku na kuleta mada nyepesi nyepesi. Kwani hapo awali ikuwa inaitwaje?Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Hapo Tumeliwa Kekundu Ndugu ZanguMambo ya kijima kabisa, political boot licking
Haters na nyumbu mpaka maji muite mma . Na mkifanya masihara mtajifungua kabla ya wakati, tena mtajifungulia kwenye madaladala hata mkiwa mmesimama!Waliobadilisha hilo jina ni wajinga wakubwa.
Mijinga sana hii minyumbu, ndo maana lissu na heche wanawapiga tone tone tu malafa wakubwa hawa!!Tanzania ina vijana wa hovyo sana. Kazi yao udaku na kuleta mada nyepesi nyepesi. Kwani hapo awali ikuwa inaitwaje?
Tangu kuanza kwa safari za SGR kati ya Dar-Moro-Dom vituo hivo vikuu vilipewa majina ambapo Stesheni Kuu ya Dar ilipewa jina Stesheni ya John Pombe Magufuli, Moro kuwa Stesheni ya Jakaya Kikwete na Dodoma ilipewa jina Samia Suluhu Hassan ili kuenzi mchango wa hawa viongozi.
Stesheni Kuu ya Treni ya Dodoma bado lipo pale karibu na Posta kwa wale wanaosafiri na treni yetu pendwa na gongongo hadi unafika Kigoma, buta Stesheni ya SGR ya Dodoma halijawahi kuwa na jina la Stesheni ya SRG Dodoma.
Tanzania ina vijana wa hovyo sana. Kazi yao udaku na kuleta mada nyepesi nyepesi. Kwani hapo awali ikuwa inaitwaje?
Tangu kuanza kwa safari za SGR kati ya Dar-Moro-Dom vituo hivo vikuu vilipewa majina ambapo Stesheni Kuu ya Dar ilipewa jina Stesheni ya John Pombe Magufuli, Moro kuwa Stesheni ya Jakaya Kikwete na Dodoma ilipewa jina Samia Suluhu Hassan ili kuenzi mchango wa hawa viongozi.
Stesheni Kuu ya Treni ya Dodoma bado lipo pale karibu na Posta kwa wale wanaosafiri na treni yetu pendwa na gongongo hadi unafika Kigoma, buta Stesheni ya SGR ya Dodoma halijawahi kuwa na jina la Stesheni ya SRG Dodoma
Umekuja kwa Hasira na Makasiriko mengi, Kawaulize TRC kwa nini wametoa Taarifa hii kipindi hiki, Ilikuwa inaitwa stesheni Kuu ya Dodoma, lakini kwa sasa imeongezwa jina la Mhe. Rais. Taarifa imeletwa kama ilivotolewa sasa Kijana unalalama nini?Tanzania ina vijana wa hovyo sana. Kazi yao udaku na kuleta mada nyepesi nyepesi. Kwani hapo awali ikuwa inaitwaje?