Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Pole sana😃Yaani imetoka rohoni mixer image wine
Pole sana😃Yaani imetoka rohoni mixer image wine
Don't woriii... Akimaliza muda wake tutabadili na hatokufa na chakutufanya😁😋Wamebadilisha Na hatuna cha kuwafanya
Hapana, ipigwe kura maoni kwanza, wengine tukiona hivyo tunapata kichefuchefuStesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Yaani mjinmzima una mipich yake ujinga mtupu.si bora watangaze vivutio vya utalii..shenjiMmeona mabango hayatoshi mmeingia na huku
Wamefanya jambo jema kwa sababu treni ni Samia hivyo stesheni imependeza kuitwa Samia, pia ingependeza zaidi Dodoma iitewe Samia City.Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
View attachment 3296005
Sio dodoma tu Bali nchi yetu iitwe sshWamefanya jambo jema kwa sababu treni ni Samia hivyo stesheni imependeza kuitwa Samia, pia ingependeza zaidi Dodoma iitewe Samia City.
NyokoliloWamefanya jambo jema kwa sababu treni ni Samia hivyo stesheni imependeza kuitwa Samia, pia ingependeza zaidi Dodoma iitewe Samia City.
Yap, ndiyo Mama Samia huyo.....yaani akija Mwarab yeyote na kumpa offer ya kujenga misikiti anakubali bila hata kufikiri wakati wananchi tunataka shule za maana, hospitali na barabara za maana.Mnajenga misikiti hadi ufukweni 😁
Hata ile misanamu ya walioua uchumi wa Tanzania na yenyewe ivunjwe kabisa inatutia nuksi tu hapa na ushirikina waoWaache tu, tuombe Mungu uzima. Mambo hayatakuwa hivi milele. Kuna siku haya ma-vibao yatashushwa kwa hasira na umma. Historia inaonyesha upendo wa wananchi kwa viongozi siyo wa kulazimisha. Yapo wapi yale masanamu ya kina Sadam?
Ume reason kama upo uchi.Wagalatia mnaumia sana, ila ingekuwa ni nyerere mngefurahia, eti?
Siku wenyewe wakistuka na mwisho wenu umefika na mtajuta sana