Stesheni kuu ya SGR Dodoma yabadilishwa jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu

Sasa si Wanawake wamewezeshwa Sasa kila Sehemu ni Mwanamke huku Mwanamke kule Mwanamke hata pale napo ni Mwanamke Sasa haya Si mafanikio!! Sasa Wanawake tena Wapambanaji Mnachukia nini!!
Hakuna lolote mkuu
 
Waache tu, tuombe Mungu uzima. Mambo hayatakuwa hivi milele. Kuna siku haya ma-vibao yatashushwa kwa hasira na umma. Historia inaonyesha upendo wa wananchi kwa viongozi siyo wa kulazimisha. Yapo wapi yale masanamu ya kina Sadam?
Ni lini sasa? Aise nakasiraka.hii nchi tunalaana
 
Yaani natamani kwenda kujilipua BungenišŸ˜
Mkuu hauko peke yako. N kwa vile hawa watalawa hawajui tu lakini wananchi tuna hasira kali sana. Kwa vyo vyote vile nina uhakika haya mavibao kuna siku yatatereshwa kwa hasira za umma. Tena Samia ndiyo kabisa, kila kitu chake cha kumbukumbu kitachomwa moto kwa hasira.
 
Wakitaka hata nchi waibadili iwe Jamhuri ya Muungano Samia.
 
Mkuu hauko peke yako. N kwa vile hawa watalawa hawajui tu lakini wananchi tuna hasira kali sana. Kwa vyo vyote vile nina uhakika haya mavibao kuna siku yatatereshwa kwa hasira za umma. Tena Samia ndiyo kabisa, kila kitu chake cha kumbukumbu kitachomwa moto kwa hasira.
Naisubiri hyo siku.

Ila watanzania ni woga jamanišŸ˜‰šŸ˜ž
 
Watu wananishangaza sana kwakweli yani jina mtu anatokwa na povu kiasi hicho na mbna imekaa poa sana na imependeza kwakweli na wew ukitaka jenga yako uite jina lako acheni chuki zisizokua za msingi
Uchawa na kujipendekeza
 
Watu wananishangaza sana kwakweli yani jina mtu anatokwa na povu kiasi hicho na mbna imekaa poa sana na imependeza kwakweli na wew ukitaka jenga yako uite jina lako acheni chuki zisizokua za msingi
Machawa kwenye one an 2..mxiew
 
Back
Top Bottom