Steve Harvey hakuelewa somo la Hakimi

wazee wa zamani walikua wanaoa wake wengi ili kulinda baadhi ya mali zao ukioa mwanamke mmoja rahisi kugawa mali zako kwa mbili ukioa wake 4 mali zako utazigawa kwa nne na zaidi hawa waafrika wa marekani wacha wapigwe na mifumo ya mababu wa watu weupe si wamesahau asili yako wacha karma iwafuate
 
Alianza masanja, kaja Dr Mwaka, sasa hivi Steve sijui nani atafuatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…