Kaaaaziii kweli kweli, tumepoteana jangwani, kila mtu atafute pa kuponeaView attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
johnthebaptist nakwambia unajidharaulisha ukumbini JF. sasa huyo unayemnadi hapa naye ni mtu wa kutoa habari zake? Ana tofauti gani na vichaa wa barabarani when it comes to issues involving using higher mental faculties to deliberate political future of this country?Akiongea na Waandishi wa Habari kada maarufu wa CCM ambaye ni Comedian by Professional Steve Nyerere amemshukuru Shujaa Magufuli kwa kutuachia Zawadi ya Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere
Nyerere amesema hivi punde tutaanza kuuza Umeme nje na.amewataka wananchi kumpuuza Mdude Nyagali ambaye aliwahi kumpiga mama yake hivyo ana laana
Hata hivyo Mdude Nyagali amejibu kwa kusema.mama yake alifariki yeye akiwa na miaka 8 hivyo amempuuza Nyerere na kusema siyo level yake
Nyerere amesema kwa sasa Chadema hawana hoja tena
Mjadala unaendelea huko X
Hahaha kakalia kiti cha watawala kabisaaa.View attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Ndio maana naonaga Elimu yetu wala haina maana kabisaView attachment 2931490
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Huyu kuwadi anaidhalilisha sana familia ya Baba wa TaifaView attachment 2931490