Steve Nyerere amejiuzulu Uraisi wa Bongo Movie

Hebu aende tution ya lugha akajifunze kuandika lugha ya kiswahili. Ni aibu kushindwa kuandika vuzuri lugha yako. Namshauri aende English Fountain akajifunze lugha. Ni aibu duuu eti tumeuzunika badala ya tumehuzunika. Mmhhhh.

Kwa hiyo aende kwa Rasi simba au?
 

Nasikia Rais wakibao kata ni Wema!
 
Bora kajiuzulu coz Bongo Movie imekufa kabisa kipindi cha Uongozi wake walichoambulia ni kuingizwa CCM na kulimalizia kabisa kuliua soko lao dogo lililokuwa limebakia,ni kazi kubwa sana kwa anayekuja kuchukua madaraka kuifufua Bongo Movie.Ila mbali ya kutafuna Rambirambi na ukuwadi haka kajitu kanatisha jamani!Kafupi kama nyundo kabaya yani kakijitokeza lazima mtu ushtuke,watu wengi hawapendi kukaona kwasababu ya muonekano wake unaotisha watoto sasa matokeo yake Bongo Movie inakosa Publicity na Coverage nzuri coz kiongozi wao hana muonekano.Personality yake inatisha watoto.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Jamaa anayake mabaya lakini bongo movie kaipaisha
 
English fountain wanafundisha kiswahili, kiingereza na kifaransa. Aende faster maana lugha aliyoandika hapo siyo kiswahili labda ni lugha ya kwao. Ni aibu sana.
Raa simba yupo kwa kiingereza cha wiki 2 tu.
 
Alichonifurahisha ni kujifanya amezimia alipokufa Kanumba kumbe gia ya rambirambi
 
Stevie Nyerere kuandika kiswahili ni sheeda je yai si waalade?
 

shule hamna ndo maana
wanatafuta pa kula
na kutembezewa bakuli siku wakifa au wakiumwa
 
Jamaa nasikia wamemtimua sababu ni shoga anaaibisha Bongo Movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…