Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu aende tution ya lugha akajifunze kuandika lugha ya kiswahili. Ni aibu kushindwa kuandika vuzuri lugha yako. Namshauri aende English Fountain akajifunze lugha. Ni aibu duuu eti tumeuzunika badala ya tumehuzunika. Mmhhhh.
Kuna kundi bongo movie linalonufaika na Steve ngoja utaona tuu watakavyomuomba arudi
Kwa hiyo aende kwa Rasi simba au?
Wabongo bana, kila kitu zengwe tu, mbona huko kwa kina Brad Pitt hatujawasikia kuwa na president wa movie zao.
Tena siku hizi kila mtu anataka kujipa cheo cha urais, enzi za mwalimu kulikuwa hakuna haya mambo, president alikuwa mmoja tu. Lakini siku hizi, hata kibao kata nao wana muheshimiwa president wao, yaani tabu tu!
mtoto wa kukuwala sio fitna mtitu umemsingizia. Steve kuwadi na mla rambirambi since kanumba's burial ceremony... mtitu asiingizwe kabisaaaaa. Alichofanya mtitu ni ujasiri wa kujitoa na kukataa kushiriki maovu.
Bora kajiuzulu coz Bongo Movie imekufa kabisa kipindi cha Uongozi wake walichoambulia ni kuingizwa CCM na kulimalizia kabisa kuliua soko lao dogo lililokuwa limebakia,ni kazi kubwa sana kwa anayekuja kuchukua madaraka kuifufua Bongo Movie.Ila mbali ya kutafuna Rambirambi na ukuwadi haka kajitu kanatisha jamani!Kafupi kama nyundo kabaya yani kakijitokeza lazima mtu ushtuke,watu wengi hawapendi kukaona kwasababu ya muonekano wake unaotisha watoto sasa matokeo yake Bongo Movie inakosa Publicity na Coverage nzuri coz kiongozi wao hana muonekano.Personality yake inatisha watoto.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
to be honest nilishangaa sana kusikia huyu chizi ni rais wa bongo movies ! huyu jamaa kichwani hakunia k2, mpeni hata chen.We unamwona mzima?
Raa simba yupo kwa kiingereza cha wiki 2 tu.
Hilo kundi sidhani kama lipo! Hivi unaweza ukasema Steve anawa nufaisha vipi?
Alichonifurahisha ni kujifanya amezimia alipokufa Kanumba kumbe gia ya rambirambi
Wabongo bana, kila kitu zengwe tu, mbona huko kwa kina Brad Pitt hatujawasikia kuwa na president wa movie zao.
Tena siku hizi kila mtu anataka kujipa cheo cha urais, enzi za mwalimu kulikuwa hakuna haya mambo, president alikuwa mmoja tu. Lakini siku hizi, hata kibao kata nao wana muheshimiwa president wao, yaani tabu tu!